JK (2009)
Barack Obama (2009)
George W. Bush (2008)

Vladimir Putin (2007).




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. kweli bwana na rais wetu anabahati ya kupata hizo bring bring

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2009

    bahati gani weweee???

    kua uelewe,no cha bure kule,wafikiri "wanavotembeleana" ni basi tu basi??

    kaazi kweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2009

    cheki izo dhahabu umo nyumbani

    daaaah!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2009

    eeenh! halafu siku mama salma akiliazima hilo kwenda kurusha roho muoshe vinywa hapa!
    (eenh ndiyo, mmesahau zamani kina mama walikuwaga wanaazima bonge la saa la faza kuendea shughulini ilikuwa nini si kurusha roho tu!)

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 10, 2009

    Hupewi bure bling bling. Kichaka na Mjaluo wanawakilisha taifa ambalo ndio mteja mkuu wa wese la wamanga hao. Huyo Mrusi sijui alipata vipi dili. Mbongo naye sijui kwa nini kapewa bling bling manake hatufanyi biashara yoyote ya maana na wamanga hao...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 10, 2009

    daaa na mimi niunganishe huko niende michuzi


    michu hii wedi verifikesheni ya nini bwana weeee

    kweni bila hiyo maoni hayanogi bwana?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2009

    Sasa Kikwete atalivalia wapi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2009

    GWB & Obama wanataka mafuta, JK atatoa mashamba kwa wakulima wa Saudi, Putin not sure may be looking for weapons market.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 10, 2009

    nasikia ya JK walimpa feki...kweli?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2009

    Bling bling huko ni za kumwaga, Hata wewe Mkuu wa Wilaya ya Nanhii unaweza ukaipata kama utakatisha kwa Mfalme...

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2009

    Siyo bahati bali ni utendaji mzuri wa kazi. Muulizeni Obama atakuambia ni nani kiongozi bora katika nchi zote za Afrika.
    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2009

    Wana Uchumi wanasema = there is no free lunch.
    Sasa wenye macho na akili wapate kutazama, kuona na kuelewa

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 11, 2009

    JK MOTO WA KUOTEA MBALI ANA BAHATI YA KUZALIWA.NI RAIS MWAFRIKA KUCHUKUA KITU HICHO.MKAPA ULIKUWA WAPI?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 11, 2009

    Kwa kweli suti ya Bush ni kali kulizo za hao wote.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 11, 2009

    wewe ulyeweka habari ya CCM hapo sio mahala pake.tunampenda JK kwa umakini wake sio ccm,wewe huijui ccm labda ndio wale MA CARE wa reading wanaojiia wanakijua chama huku hawana wanalolijua.

    ReplyDelete
  16. mama wawiliJune 11, 2009

    BLING BLING LA MR. BUSH NI FEKI, MBONA HALING'AI KAMA LA OBAMA NA KIKWETE? KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 11, 2009

    Anony hapo juu huelewi kwanini huyo wa kwetu amepewa hilo bling bling?

    Basi uko mbali na news unapaswa kusogea krb otherwise utaachwa mbali. Ni zile ekari 500, 000 tutakazowapo kulima mpunga kwa miaka 99 pasipo chochote cha maana. Kenya watatoa ekari 144, 000 kwa Kuwait watajengewa bandari kubwa kuliko ya Mombasa huko Lamu, electronic train na bonge la hotel Jomo kenyata Inten Aiport lakini still wanaona wameonewa. Wangejuwa sisi tunatoa mara 3 ya ardhi yao pasipo lolote la maana nadhani wangenyamaza.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 11, 2009

    KWANI HIZI BLING BLING HUWA WANAPEWA KWA KUFANYA NINI?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 11, 2009

    there is always free food on the hook, I doubt this award might cost our country forever

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 11, 2009

    Kwakweli JK mwacheni tuu ana nyota kali mfano hakuna, sijaona rais amekuwa na madhali maka JK hapa kwetu. sijui ni bahati ama utendaji kazi lkn anafunika bovu always.

    hongera baba, jitahidi tuu na sisi wananchi wako tupate nafuu ya maisha kama si bora zaidi naamini nia yako ni njema sema mambo yanabana pia na baadhi ya watendaji wako wanakuangusha lkn usikate tamaa utafika tuu.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 11, 2009

    Utendaji wa kazi nzuri!!!!
    Na Bush naye alikua mtendaji wa kazi nzuri?

    Mwarabu huyo anawapaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 11, 2009

    Aisee,nafikiria wenetu wanaokosa masomo, wanaosomea sakafuni kwa kukosa madawati wanaoteswa na madaladala.
    Siku ile ya mpira wa taifa star na wale vibonde wa wapi vile, kulikuwa na foleni kinoma, kama unataka ujue nini maana ya foleni nenda barabara ya kuelekea Gongolamboto kuanzia saa 11jioni, basi bwana, kwa kuwaonea huruma watoto waliokuwepo kituoni, tuliwaingiza wawili kupitia dirishani. Mlangoni hakuingiliki!
    Kwasababu ya foleni, kubanana,njaa na kuchoka kwa wale watoto, waliishiwa nguvu, ilifikia wakati kila mzazi pale ndani kutamka maneno mabaya na kulaani. Fikiria foleni masaa zaidi ya mawili...!
    Nikajiuliza hawa wanalaani nini, unamlaani nani, wakati wewe ndiye uliyempa kura yako...
    Bling, bling, bling...na bado..mwenye nacho..utajaza mwenyewe
    M3

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 11, 2009

    HILO TATIZO LA FOLENI WALA KIKWETE AWEZI KULITATUA UNAMUONEA TU,FOLENI INASABABISHWA NA KUKOSEWA NA MIUNDO MBINU TOKA ZAMANI SANA NA KUREKEBISHA NI LAZIMA UWE NI MPANGO WA MUDA MREFU NA MATOKEO YATAKUJA BAADAE PENGINE HATA SISI TUTAKUWA TUSHAZIKWA,MFANO MZURI NI HUKU MAENEO YA MTONI BARABARA PANA YAANI HADI KUVUKA UNAONA KERO NA BADO ZINAPANULIWA DAILY.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 11, 2009

    Watu bwana kila mtu hapo juu kapewa kutokana na contribution yake kasoro Jk...GWB kwa sababu ya american base na soko la wese NY, Obama the same contribution plus original from muslim family and because is symbol of unification 21 cent..Mr Putin as co- partner because russian is first country for oil supply the second are sheikh's alafu mti mkavu kwa mambo ya long missile siunajua nchi kama hizi inabidi uwe karibu nazo...kuhusu mpendwa raisi wetu wadau naomba msaada kwanini alipewa naamini wengi mnajua reason
    Mdau wa Kamachumu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 13, 2009

    Kudadeki, akija kwetu na sisi tumvishe mgolole na mishanga ya Kimasai.

    Nyoo, Mwarabu jeuri atakataa katakata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...