kila siku za jumapili mambo yanazidi kuwa mswano coco beach jijini dar, ambao ni katika fukwe chache zilizosalia ambazo mmatumbi wa kawaida yuko huru kutembelea. pamoja na kupunga hewa na kupata viburudisho kwenye mgahawa maarufu wa coco beach, pia kuna michezo kibao. mtembelee othman michuzi kwenye libeneke la mtaa kwa mtaa kwa hayo na mengine kibao ya uswazi.
Home
Unlabelled
mambo yanazidi kuwa mswano coco beach
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tatizo lao hao vijana, wakisha maliza hayo Mazoezi yao then wanativizia, kutupiga "Kabari" na kutuchukulia vyetu vya thamani.
ReplyDeleteHasa hasa hayo maeneo ya Coco Beach iwe mchana au kagiza kidogo tu ni Balaa!!
Jamani hapa hamjaona tatizo lilliopo? jamaa wanapigana bila head protective gears? yawapi haya? hata professional boxers wakifanya mazoezi huvaa protective gears, lakini bongo ndio bongo. tena hawa jamaa wanapigana masumbwi ni nani anaesimamia mazoezi haya? kuna kuwepo na mfundishaji hapo? na vipi daktari au first aider wako wapi? hayo ndio matatizo ya nyumbani sasa tuseme jamaa hapo akipigwa konde zito na kuhitaji matibabu ya haraka watafanya nini? Serikali ni lazima waingilie suali hili na kuzuia zoezi zima. masumbwi ingawa ni mchezo, lakini ni mchezo hatari na daima unatakiwa kuchezwa kwenye controlled environment, mahali ambapo pana huduma zote za haraka pindipo zikihitajika na pia panahitaji wakufunzi kusimamia mazoezi yao.
ReplyDeleteWATANZANIA TUAMKENI!!!!!!!