Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Mgwassa (kulia) akimkabidhi, Vivian Kataraia tiketi ya ndege baada ya kuwa miongoni mwa wauzaji bora 20 wa vinywaji vya kampuni hiyo, walioshinda kwenda kushuhudia fainali ya Kombe la Mabara Afrika Kusini leo.TBL kwa kushirikiana na Kampuni mama ya SAB Miller watawahudumia malazi, chakula na kila kitu washindi watakapokuwa nchini humo. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Dar es Salaam jana ni kiongozi wa msafara,Meneja wa Mauzo Kanda ya Kusini, Albert Mallya.
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Mgwassa (kulia) akimkabidhi, John Bosco tiketi ya ndege baada ya kuwa miongoni mwa wauzaji bora 20 wa vinywaji vya kampuni hiyo, walioshinda kwenda kushuhudia fainali ya Kombe la Mabara Afrika Kusini


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kama kuna mtanzania mchapakazi kama huyu mzee Mgwasa hapo TBL sijuhi, wazungu wenyewe wanmkubali halafu ni mzalendo mno. Nakumbuka wakati wa harusi yangu alinichangia crate 15 za bia. Ni kijana wako merul hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...