Crisrian Ronaldo


MANCHESTER UNITED have accepted an £80million offer from Real Madrid for Cristiano Ronaldo.


Ronaldo has long been a target for the Spanish giants, who signed Kaka for £62million on Monday.


Real president Florentino Perez vowed earlier this week to do "everything possible" to take the 24-year-old to the Bernabeu.


A Red Devils statement said: "Manchester United have received a world-record, unconditional offer of £80million for Cristiano Ronaldo from Real Madrid.


"At Cristiano's request - who has again expressed his desire to leave - and after discussion with the player's representatives, United have agreed to give Real Madrid permission to talk to the player.


"Matters are expected to be concluded by June 30.


The club will not comment until further notice."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. kaka huyu hana kitu sema mzee kachungulia biashara wacha aondoke hana jipya zaidi tumsubiri ribery naye tuone.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2009

    tuliwagonga nyuma na mbele pamoja na ronaldo wenu. kwanza tuliwapa 2-1 pale anfildi kisha tukawamalizia na 4-1 pale kwenu oldi trafodi na shujaa wenu huyu akiwepo. ile ilikuwa dozi kamili kabisa kwa kutibu maralia 2-2-2. sasa bila yeye sijui msimu huu tuwapigeje nyie waungwana!! hebu jichagulieni wenyewe aina ya kipondo mkitakacho msimu huu ujao. na mnyama tevez naye ndo huyo kama c mancity basi anfildi duh. mwakani kikombe hiki chetu tukiteleza sana basi kitakwenda darajani.
    macmuga wa livapuli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2009

    CRISTIANO RONALDO..WORLD PLAYER OF THE YEAR! MAN U KWISHNEI!! MAN U KWISHA KABISA..

    KWAKWELI NINAYO FURAHA KUBWA BAADA YA RONALDO KUONDOKA MAANA HUYU NDIYE ALIYEKUWA AKIWAPA NYODO MAN U. KUMBUKENI MWANZONI MWA MSIMU ALIKUWA MGONJWA AKAANZA KUCHEZA MWEZI OCTOBA BUT STILL YEYE NI MFUNGAJI BORA WA PILI!!! MWAKA JANA LIFUNGA MAGOLI 42 TENA SIO FOWAD YEYE WINGA...MAN MAGOLI ITAKUWA TABU KUYAPATA..RIBERY HAFIKI HATA NUSU YA MAGOLI YA RONALDO..MCHEZAJI PEKEE ATAKAYEWEZA KUZIBA PENGO NI DAVID VILLA...HIKI KIFAA SI MCEZO MWAKA HUU KIMEFUNGA MAGOLI 29 KATI YA MECHI 33..MCHEZAJI MWINGINE YEYOTE MTAKAEMNUNUA HATAZIBA PENGO LA RONALDO LABDA MNUNUE WAWILI.

    NGOJA NIKANYWE WINE..
    JIMMY GUNER FOR LIFE

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2009

    afadhali

    ata mkijiuza woooooote fresh tu

    mnakera sana red devils

    "ukubwa wa pua,si wingi wa......."

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2009

    leo galasha najua wewe mwandishi ni ManU ndio maana umepanic na kumuita galasha. hebu jikumbushe ile hadithi "hadithi inayo kuja ni ya sungura sikia ... alitoka siku mojaa njaa alopsikia... sizitaki mbivu hizi naona nafanya kazi bila faida kujua..." pole usipanic sisi aliondoka King Henry ambaya mpaka leo hatujampata m'badala sembuse huyo kikojozi (siye tunamwita Ronaldo Katuni wakati yule Ronaldo wa ukweliukweli yaani De Lima tunamwita Ronaldo Original). mwenye hela sio mwenzio.. bado tevez

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2009

    man untd kwisha kabisa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2009

    Kila mtu anajua kuwa Christiano Ronaldo ameisaidia sana MANU. Kuondoka kwake ni pigo kubwa kwa MANU. Kazi itakuwepo mwakani. Kwa sababu maandalizi ya Chelsea yanatisha saana. MAN CITY nayo itakuwa ikileta upinzani mkubwa sana. Vijana wa Arsene Wenger nao wamekuwa wakubwa sasa. Kazi mwakani

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 11, 2009

    Man U wajiandae kushuka daraja msimu ujao.vijana wa darajani hawana nchencheto mashine zote zipo fiti na tunaongeza kinda mmoja tu alexandre PATO majibu mtayapata mapema mno msimu ukianza.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2009

    Man Kwisha Habari yake labda wamtegemee Referee Howard Webb anayewabebagasiku zote. Tevez na Ronaldo out of Oldtrafford mmekwisha hakuna timu tena bado Rooney aturudi Everton. Na next season Mnachukua nafasi ya Tano.Top 4 anakuja Man city

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2009

    HILI NI TATIZO KWA MADRID KULIKO MAN UNITED.ITAKUWAJE WAKISHINDWA KUCHUKUA KOMBE WAKIWA NA RONALDO NA KAKA?
    I CANT WAIT FOR BARCELONA VS REAL MADRID NEXT SEASON.I THINK WILL BE ONE OF THE BIGGEST SOCCER GAME IN THE WORLD.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2009

    no player is bigger than the club.man united will be man united always.with or without ronaldo they will still challenge for trophies.

    ReplyDelete
  12. mbigiri-Arsenal thru-thruJune 11, 2009

    Twende mbele na nyuma hizi pesa ni nyingi sana.Man U wangekuwa wajinga na mazezeta wakubwa kuziacha pesa hizi.hawa watu wanaosema Man U wamekwisha ni wapumbavu wasiojua soka.One player doesnt make a team.Man U wameshauza wachezaji nyota kama kina Beckham,RV-Nistroy na bado hawakushuka dalaja itakuwa huyu Cristiano.Haya madeal yanatokea kila mwaka na bado Timu zina-adjust na kuzidi kucheza kwa ushindani.Mimi naona siku Fergie atakapostaafu ndiyo siku ambayo Man U watakuwa matatani kisoka kuliko kuondoka kwa Cristiano.Well done man U

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 11, 2009

    utd 4eva! kaondoka STAM,BECKS,RUUD,YORKE,ANDY COLE,KEAN ndo ije Christiano!(hii inaonesha kuwa timu ni bora na haimtegemei mtu mmoja kama chelsea)Nadhani wote mnafaham all the time best players of FERGIE cristiano hayupo...even the 1st eleven of all the time man.utd bado hayupo...

    mpira ni biashara siku hizi uza mchezaji mapema anapokuwa juu usisubiri mpk ashuke uuze kwa bei ya madafu kama thiery henry najua wenger bado anajuta kwanini hakumuuza mapema madrid

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 11, 2009

    Wabongo bwana kwa kushabikia tu hamjambo, If a player wants to go you've got to let him go but it's great business for the club; they bought him for £12m and they've sold him now for £80m and just remember FOOTBALL IS NOW 80% BUSINESS AND 20% SPORT AND THAT IS GOOD RETURN FOR UNITED AND A BONUS AND FOR ANOTHER 20 MILLION POUNDS THEY CAN PROBABLY BUY NEWCASTLE

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 11, 2009

    Kama mshabiki wa Real Madrid nimesikitishwa na usajili wa Ronaldo. Angalia tabia za Ronaldo ukilinganisha na Messi. Japo wote kiwango chao cha soka kiko juu sana lakini Messi anaheshimu wenzie. Huyu Ronaldo anaweza kuharibu hali ya hewa kambini Madrid. Bora wangemchukua Ribery.

    ReplyDelete
  16. BREAKING NEWS
    Fergie yupo mbioni ku-finalize uhamisho wa Mrisho Ngassa kwa kiasi cha Paundi 5mil.Itakumbukwa kuwa Mrisho Ngassa alikuwa ktk majaribio London miezi michache iliyopita.Na Scout mmoja wa Man u alifuatilia kwa karibu majaribio ya Ngassa.
    Pia kuna tetesi kuwa Fergie anataka kumnunua Adebayor kwa mil 25.Fergie ni mpenzi mkubwa wa Adebayor.In fact miaka kama 3 iliyopita Fergie alishapandisha dau kumchukuwa Adebayor toka Arsenal,kwa bahati mbaya au nzuri Adebayor alikataa kuhamia man U.Na kuna tetesi kuwa Eboue,Drogba,John Utaka, wako ktk list ya wachezaji wanaotakiwa Old trafford.Ama kweli wabongo walisema ponda mali kufa kwaja.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 11, 2009

    Duh!!
    Maisha nuksi kabisa, wakati wengine wanalala njaa hawajui hata mahali pa kupata mlo mmoja kwa siku upande wa pili wengine wanamnunua binaadam mwenzao kwa pound 80 million acheze mpira.....kweli maisha ndivyo yalivyo.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 11, 2009

    Real wamepigwa tu hapa hamna kitu humu mambio tu kwamza hama thamani hiyo huyo mchezaji

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 11, 2009

    within four y'ers, man u have made stunning of over 120m from real madrid by selling some of their biggest assets.
    beckhams 25m, van nistelroy 15m, 6m argentinian full back, ronaldo 80m = £126m. that's absolutely wonderfull.
    i dont know who wants to buy gerrald, torres, masch, tevez, rooney cuz they 're not worth in the current market! no at all even ribery, benzema, messi, henry t

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 11, 2009

    jamani sijaona ushabiki wa kijinga kama wa kibongo,yaani wamezoea mambo yao ya simba na yanga kwa man u, mjuwe mpira kwa wenzetu ni biashara,unawekeza ili uje urudishe gharama na upate faida.malichofanya man u ni mafanikio kibiashara si kuwatukana! au kuona wamekwisha.wenzenu wanafungua shampeni kwa faida kubwa kwa ronaldo.nyie wa simba na yanga kazi kuwabania wachezaji kwani malengo ni kushindana wenyewe kwa wenyewe hata kama vilabu vinapata hasara.hongera mdau wa june11, 4:50pm kwa kuliona hilo.tushabikie mpira kibiashara zaidi kuliko kupiga makelele wakati soka hatulijuwi.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 11, 2009

    Jamani ni nani atakaye kataa hiyo 80million pound?Ukizingatia kuwa hata kuwepo kwake hakuja saidia kushinda CL.

    Manunited will remain ManUnited,always produce high profile players who end up no where when they left a club.Please name one..!!

    But the truth is,Kuondoka kwa Ronaldo ni pigo kubwa kwa Manunited,kwani kumpata mchezaji mwigine mwenye ufungaji ni kazi.

    Let see,
    ManUnited fun

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 11, 2009

    MAN UTD SIKUZOTE WAKO JUU HATA KABLA YA HUYO RONALDO

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 11, 2009

    Mbigiri u need 2 c a psychatric, i feel da mental problem u have.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 11, 2009

    Mie kama mpenzi na mkereketwa wa real madrid sijafurahia transfer as the benefit for our club atmosphere ,what they did just to promote the image of the club try to cover the gap of mid 2000 year ...enzi zetu...ambapo tulikusanya the most famous players in the world in one football team and for your reference guys this never happen in history of soccer(Zidane/Figo/Roberto Carlos/ Ronaldo/David.... na wengine wengi chini ya Del Bosco hiyo ilikuwa timu hawa wengine wasanini tu labda watatusaidia kuuza jezi na commercial advert... lakini mpira sijuhi.......
    Mdau wa kamachumu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 11, 2009

    Litaota jino jingine. Subirini Season ianze. Club lazima iendeshwe kibiashara vilevile

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 12, 2009

    ni kweli mbigiri anahitaji msaada. watoto wa wenger watakuwa wamekua?? kwani bado wadogo? wape demu wako uone km hawakumpa mimba.
    manu 4ever; 80m!!!.. liverpool buncrapt...
    naenda kulala.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 12, 2009

    Bro Michuzi, that is the reason why Fergie ni kocha bora duniani. Timu yoyote duniani haiwezi kuacha that kind of money for a player aliyeleta kila kitu kwenye timu. Mchezaji ameleta kila kombe ndani ya manchester united, mbali ya hayo alinunuliwa kwa UKP 12M/= only na kuuzwa kwa UKP 80M/= ni chizi tu ndio anaweza kuacha that deal lipite.

    look at Thierry Henry pamoja na kuleta vikombe Arsenal aliuzwa kwa hela mbuzi tu pamoja na kipaji chake. So iam thinking next season tuexpect the following.

    1. Man Utd wana hela ya kutosha kununua wachezaji ambao watatumika kuziba pengo la Ronaldo, ingawa haliwezi kuzibwa kabisa kabisa. I have a feeling kwamba Ronaldinho, Benzima and Antony Valencia will be coming to OT

    2. Ronaldo knows he is the best, at Machester Utd aliheshimiwa na wachezaji wenzake, but with Madrid yenye wachezaji wakali watupu sioni kama kutakuwa na amani katika vyumba vya kubadilishia nguo. If you remember alikorofishana na Ruud Van Nisterloy.

    Anyway najua bwawa la maini, washika magobole na nyoka wa kibisa wa London (Chealsea) mtakuwa mmefurahi sana. But i promise you Man Utd will remain stronger than ever next season

    ReplyDelete
  28. keep Tevez,buy Valencia and Benzema and we are good to go for another title glory!walikuwa wanamponda leo kaondoka eti 'ooh wameumia'.nyie vipi!alikuwepo King Eric,akaja Karel Poborscky,then Becks,halafu Ronnie anaenda 'mkubwa' mwingine anafuata!GLORY GLORY UNITED!!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 12, 2009

    MAN UTD, THE CHAMPS WE ARE. WALIKUWEPO KINA CANTONA, BECKS NA WENGINEO NA WAKAPITA KLABU IKABAKI JUU ILIVYO

    CR 7 AMEKUJA NA ANAONDOKA MAN UTD ITAKUWA HIVYO HIVYO JUU.
    MAN UTD KNOWS HOW TO GROOM PLAYERS AND EXCELL THEM TO THE HIGHEST POINT. SO LONG AS BABU YUPO KILA KITU KIKO SAWA.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 12, 2009

    Barca vs real madrid...

    nasubiri iyo ngoma lazima niende kutazama iyo soccer...

    ovyoooo ronaldo,na atawachafua kweli real madrid

    man u kufa kifo cha mende

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 12, 2009

    nyie wote mnao msema Ronaldo timu zenu msimu uliopita hamkufanya vizuri.Sisi ndo wadau wa ManU tunapanga nani auzwe na nani aingie,tumeshazalisha vipaji kibao na kazi yetu ni kuchukua underground na kuwapandisha chati then tunawapa timu kama Real ambao wanategemea nguvu za makocha wengine.Fikiria tulimnunua kwa 20Million pounds na leo tumepata faida kubwa sana 80Million pounds nani angeshindwa kumtoa mchezaji wake kwa kitita hiki.Hata angekuwa messi angeuzwa tu kwa Dau hilo.Pili kwani mnasema ataenda kuvuruga Real kwa Man U mlisikia kaleta fujo gani ,Nadhani hapa kuna watu wanafata tu mkumbo wa maneno wakati fani ya mpira hamna ,Na kwa taarifa yenu tunakuja upya msimu ujao ,na mpaka mtaendelea kusema Sir Alex Mchawi,na tukiamua kuanzia leo tuna uza wachezaji wote na kuleta vifaa vipya na nuome tutakavyo warusha roho.MAN U OYEEEEEEE
    Mama Mariam

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 13, 2009

    mARK MY WORD HATA JINA HAJULIKANI VIZURI NAFIKIRI NI TOSIC ANOTHER SERBIANATOR BABU ALIMNUNUA KWA BEI YA BUY ONE GET ONE FREE MSIMU ULOPITA ALIPEWA DEBUT NA DARBY KWENYE CARLING LAST SEASON. MARK MY WORD AME COST 12MILLION. MSIMU UJAO NYOTA....

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 13, 2009

    Breaking news! Saturday 13th Man U wana mpango wa kutumia pesa waliyomuuzia Ronaldo kuwanunua Steven Gerald, Tores, Fabregas na Lampard. Wapinzania kaeni chonjo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...