Home
Unlabelled
mazishi ya sheikh suleiman gologosi lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inna lillah wainna illahii rajiun masikini namkumbuka sana sheikh gorogosi siku ya railatul kadri na mawaiza yake mazuri.mwaka jana masjid simbambali.
ReplyDeletekila bin adamu ataonja umauti.
sheikh abdallah
Pumzika kwa amani Mzee wetu, ndugu yetu, Mungu akuangazie Nuru njema huko uendako.
ReplyDeletedaima tutakukumbuka.
Amina.
kwa nini wanaweka kanga
ReplyDeleteMungu aiweke roho yake mahala pema peponi Inshaalah.
ReplyDeleteMkulima-kijijini Gezaulole.
Jamani sheikh wetu mpendwa gorogosi, tutakukumbuka wkt wa tarawehe pale bakwata ulivyokuwa ukitukumbusha yaliyo mema kila wakati, hatukujua ramadhani ya mwaka huu hatutakuwa pamoja lkn cku zote kazi ya mungu haina makosa, mungu akulaze mahali pema peponi....amina
ReplyDeleteLulu
mdau hiyo ya kijani dark siyo kanga ni kitambaa maalum cha kufunikia jeneza na hiyo ya kijani light ni shuka tu ya kawaida inafunikwa juu ya kaburi kumstiri maiti sababu hapo chini kuna watu ndo wanamweka ndani ya nyumba yake ya milele na huwa linapepewa au kukung'utwa kung'utwa ili kuruhusu hewa kuingia humo chini kwa waloingia.
ReplyDeletena unapoona jeneza limefungwa kanga katikati juu ya hicho kitambaa cha kijani dark (si lazim iwe kijani), basi juwa maiti au marehemu aliyemo humo ni la mwanamke.
Jamani kuuliza si ujinga, mimi naomba nisaidiwe. Hivi wakati wa mazishi ya kiislamu, kwanini maiti akishatiwa shimoni watu wanashikilia shuka kwa juu? Wale jamaa wanaokuwa huko chini wanakuwa wanamfanyaje maehemu?
ReplyDeleteannon 2:46 pm najitaidi kukuelewa mana ata mie nilikuwa na maswali ya kuelimishwa tu km hao annons apo
ReplyDeletesie ndugu shurti tujue mana waweza oa/olewa na imani ingine
umesema "jeneza likifungwa khanga kwa juu basi ujue ni mwanamke marehem"
so icho cha kijani dark ni nini???na kina maana gani?
ReplyDeleteANGALIA HOYI ARDHI ILIVYOKUWA SAFI NA HICHO KIJANI KIBICHI NA BADO TU MASIKINI, NILIKUWA NASOMA HAPO MZUMBE SECONDARY MIAKA MINGI ILIYOPITA NAKUMBUKA NDIZI NZURI TULIZOKUWA TUNAKULA TOKA MATOMBO, NA SASA NIKO HUKU MAJUU, (UK) NAKUTANA NA NDIZI TOKA AFRIKA YA MAGHARIBI, TOKA AMRIKA YA KUSINI, SASA SISI TUNASHINDWA NINI KULETA NDIZI HUKU JAMANIIII? OUR LEADERS THEY DON'T THINK ABOUT OTHER PEOPLE THEY THINK ABOUT THEMSELVES, SHAME ON YOU. A POLITICIAN ALWAYS MUST THINK OTHER PEOPLE IH HE WANT TO GO FURTHER IN HIS/HER CAREER.
ReplyDeleteJAMANI MBONA WATU MASHUHURI WANAKUFA HIVI! OH MY GOD!
ReplyDelete