Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya kaimu Mufti Mkuu, Hayati Suleiman Gologosi aliyefariki wiki ilopita katika ajali ya gari huko lindi. Chini ni wakati wa mazishi hayo yalofabnyika Lindi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2009

    inna lillah wainna illahii rajiun masikini namkumbuka sana sheikh gorogosi siku ya railatul kadri na mawaiza yake mazuri.mwaka jana masjid simbambali.

    kila bin adamu ataonja umauti.

    sheikh abdallah

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2009

    Pumzika kwa amani Mzee wetu, ndugu yetu, Mungu akuangazie Nuru njema huko uendako.

    daima tutakukumbuka.

    Amina.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2009

    kwa nini wanaweka kanga

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2009

    Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi Inshaalah.

    Mkulima-kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2009

    Jamani sheikh wetu mpendwa gorogosi, tutakukumbuka wkt wa tarawehe pale bakwata ulivyokuwa ukitukumbusha yaliyo mema kila wakati, hatukujua ramadhani ya mwaka huu hatutakuwa pamoja lkn cku zote kazi ya mungu haina makosa, mungu akulaze mahali pema peponi....amina
    Lulu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 01, 2009

    mdau hiyo ya kijani dark siyo kanga ni kitambaa maalum cha kufunikia jeneza na hiyo ya kijani light ni shuka tu ya kawaida inafunikwa juu ya kaburi kumstiri maiti sababu hapo chini kuna watu ndo wanamweka ndani ya nyumba yake ya milele na huwa linapepewa au kukung'utwa kung'utwa ili kuruhusu hewa kuingia humo chini kwa waloingia.
    na unapoona jeneza limefungwa kanga katikati juu ya hicho kitambaa cha kijani dark (si lazim iwe kijani), basi juwa maiti au marehemu aliyemo humo ni la mwanamke.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 01, 2009

    Jamani kuuliza si ujinga, mimi naomba nisaidiwe. Hivi wakati wa mazishi ya kiislamu, kwanini maiti akishatiwa shimoni watu wanashikilia shuka kwa juu? Wale jamaa wanaokuwa huko chini wanakuwa wanamfanyaje maehemu?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 02, 2009

    annon 2:46 pm najitaidi kukuelewa mana ata mie nilikuwa na maswali ya kuelimishwa tu km hao annons apo

    sie ndugu shurti tujue mana waweza oa/olewa na imani ingine

    umesema "jeneza likifungwa khanga kwa juu basi ujue ni mwanamke marehem"

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 02, 2009

    so icho cha kijani dark ni nini???na kina maana gani?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 03, 2009

    ANGALIA HOYI ARDHI ILIVYOKUWA SAFI NA HICHO KIJANI KIBICHI NA BADO TU MASIKINI, NILIKUWA NASOMA HAPO MZUMBE SECONDARY MIAKA MINGI ILIYOPITA NAKUMBUKA NDIZI NZURI TULIZOKUWA TUNAKULA TOKA MATOMBO, NA SASA NIKO HUKU MAJUU, (UK) NAKUTANA NA NDIZI TOKA AFRIKA YA MAGHARIBI, TOKA AMRIKA YA KUSINI, SASA SISI TUNASHINDWA NINI KULETA NDIZI HUKU JAMANIIII? OUR LEADERS THEY DON'T THINK ABOUT OTHER PEOPLE THEY THINK ABOUT THEMSELVES, SHAME ON YOU. A POLITICIAN ALWAYS MUST THINK OTHER PEOPLE IH HE WANT TO GO FURTHER IN HIS/HER CAREER.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 03, 2009

    JAMANI MBONA WATU MASHUHURI WANAKUFA HIVI! OH MY GOD!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...