Ahmed Ghailani, mmoja wa washukiwa wa ugaidi washirika wa kundi la Al Qaeda anatarajiwa kusimama kizimbani leo jijini New York akiwa mtuhumiwa wa kwanza kusomewa mashtaka ya kuhhusika na ugaidi kwenye balozi za Marekani Nairobi na Dar es salaam mwaka 1998.
Habari Kamili
BOFYA HAPA
dogo we ni noma maana kwenye home page ya yahoo leo ni wewe tu.haya ndo matukio yani hata ukiingia huko jela us wakikuuliza ulifanya kosa gani ukiwaambia ulikuwa bodyguard wa bin laden unapewa unyapala
ReplyDeletehalafu ukifanikiwa kutoka jela sijui demu gani duniani atachomoa warabu watajipanga mwe..
najua cooment ya yangu utaisoma kwa sababu majela ya huko yana internet,halafu fungua blogu yako na wewe uitangaze kwa michu
tumwombee kwa mungu ukute utoto na umaskini wetu huu umemkuta. sasa sisi watanzania hatuna mambo haya takuwa brain washed kila ninapoona picha yake inanitia majonzi maana TANZANIA WE HAVE PEACE BUNDUKI IKILIA WATU WANAKIMBILIA HUKO.TUMUOMBEE JAMANI HUUU
ReplyDeleteThe King! Wakilisha mwana...!
ReplyDeleteDogo amekwisha. Anyway, ndio matokeo ya aina ya maisha mtu anayoyachagua. Unfortunately alifuata mkondo wa alquada, na hata kuwamaliza wabongo wanzake basi naye acha avune alichokipanda?
ReplyDeleteHivi ni raia wa nchi gani?
ReplyDeleteRaia wa nchini kwenu.
ReplyDeleteDogo wamemuonea tu kwao masikini na hana elimu yoyote lkn kupoteza ushaidi wa unyama wa wamarekani lazima mtu alipe ndio wanavyofanya kila siku hata 11/9 ndio ilivyokuwa usishangae ukaitwa gaidi nahata kupiga manati hauwezi
ReplyDeleteHuyu ni raia wa Zanzibar (kwa wanaume). Najiskia fahari kuwa mzanzibar....watu weweeeeeee...!
ReplyDeleteWakilisha mwanaaaaa
huyu dogo amebambikiziwa hata ukisoma hiyo habari utagundua . utaalamu wa kuforge kaupata wapi huyu alisafiri akitafuta maisha kama watu wengine na akaangukia huko alikoangukia na kukutwa na masahib haya .
ReplyDeletemungu atamsaidia hata huyo osama hajawahi kukutana nae na wala hawana mahusiano.
na namjua ni wa mtaani pale kisima majongoo jamani safari zina mambo mengi!
kila nimuanapo dogo huyu namfikiria mama yake!
Anony wa 9:46.
ReplyDeleteMzanzibar.
KAKA MICHUZI NILIKUA NAOMBA USIKILIZE KILIO CHETU SISI WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA WA KITANZANIA TUNAOSOMA NCHI ALGERIA.
ReplyDeleteKUMBE UFISADI HUANZIA MASHULENI NA SIO MAOFISINI.ALIEKUA KIONGOZI WA WANAFUNZI AMEKULA POSHO YETU AMBAYO TUNATAKIWA TUPATE KILA MWAKA!!
AMECHUKUA POSHO YETU YOTE YA MWAKA NA KUTUACHA HATUNA PAKUKIMBILIA,HATUNA PAKUSHITAKI MAANA TUMESHAFIKISHA HII ISSUE UBALOZINI UFARANSA,WIZARANI LAKINI INAPATA MWEZI SASA HAKUNA HATUA YOYOTE ILIYOCHUKULIWA.
INASEMEKANA HUYU JAMAA ANAMTANDAO AMBAO UNAMLINDA HUKO BODI NA WIZARANI NA NDIO MAANA AMEWEZA KUINGIA MITINI NA MAMILIONI YA WANAFUNZI.
KAKA MICHUZI KAMA NA WEWE NI MZALENDO WA KWELI UNAEPINGA UFISADI USIJE UMIZA WATOTO WAKO NA WATANZANIA TUNAOMBA UIWEKE HII SCANDAL PEJI ZAKO ZA MBELE KABISA ILI MHESHIMIWA RAISI WA TANZANIA ASIKIE KILIO CHETU,TUNAJUA MHESHIMIWA ANASOMA HUU MTANDAO,HATUNA WAKUTUSAIDIA JAMAA ANATANUA NA MAMILIONI YETU MTAANI NA WAPAMBE WAKE WANATUTOLEA NYODO.
HII SCANDAL IMESABABISHA TUWATOE MADARAKANI YEYE NA MAKAMO WAKE BI ADELAID.
HUYU JAMAA ANAITWA RUGE.
CHONDECHONDE KAKA MICHUZI TUSAIDIE IKIWEZEKANA ITUME KWENYE MITANDAO MINGINE NA MAGAZETI.
TUTAZIDI KUA NA IMANI NAWE UKITUSAIDIA.

Dogo ametia doa nchi yetu Tanzania,sasa inaonekana ni nchi yenye magaidi... alifuata nini afghanistan kama si gaidi???? kwa nini alienda kufanya mafunzo afghanistan na osama???..... Huyu anastahili kunyogwa hadi kufa kwani kauwa watanzania wenzake wasio na hatia. Kama alikuwa anataka kuwauwa wamarekani angeteka ndege na kuigongesha white house au pentagon!
ReplyDeletewww.youtube.com/al qaeda bomber Tanzania video, inaonyesha 'live' kuwa Mahakama za Afrika ya Kusini kulaani Ahmed Ghailani kutekwa nyara na vikosi vya ujasusi ndani ya Africa ya kusini(Cape Town immigration office).
ReplyDeleteHuku habari inasema Ghailani alikamatwa Pakistani?! Hebu tusubiri wanasheria wake Ghailani watatuambia ukweli kama alitekwa nyara Afrika ya Kusini kinyume na sheria au kama alikamatwa Pakistani akiwa na mke wa ki-Ubezistani.
Video hiyo ina picha za mahojiano na watu wa karibu na Ghailani jijini DSM, Zanzibar na huko Cape Town.
samahanini waungwana huyo kijana si Mbongo kama ilivoandikwa bali ni Mzanzibari. Tusijaribu kupotosha na kupotezeana utambulisho.
ReplyDeletemzanzibari.