Home
Unlabelled
miaka 40 ya KLM bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sawa wamefanya biashara mwa miaka mingi katika route hiyo ya dar-schipol. lakini mbona ndege wanazotuletea huwa ni kuukuu tu? ndege zao kali zote zinatumika routes nyingine!! ukipanda emirates au quatar au hata swiss unaenjoy lakini KLM!!!
ReplyDeleteMacmuga
Duuh...!!!! wanasherekea wakati wenzao wanamsiba mkubwa sana, kampuni ya Airfrance baada ya ndege yao kula mzinga na kuuwa watu zaidi ya 200. Sasa hii nini?
ReplyDeletehongereni
ReplyDeleteHaya miaka arobaini ya kupata faida wamesaidia miradi yoyote hapo tz? Kama siyo basi hawatufai tufufue kwa hali na mali shirika letu la ATC na tuwapige marufuku mafisadi kulikaribia.
ReplyDeleteMdau.
Mdau wa kwanza hapo juu, kwa hiyo una maanisha kuwa mkuu wa wilaya ya nanihii amechoka sana, maana alipanda KLM wakati anaenda vekesheni
ReplyDeletewee sio mariane kusaga wewe, tulisomaga wote obay primary, unamkumbuka gresha?, shoga yako, umependeza, una mimba? mbona tumbo kubwa.umefanana na dadaako kweli
ReplyDeletendege yetu ya jamii community air lines itarudi lini?
ReplyDeleteNi matumaini yangu wanaposherekea miaka 40 ya huduma yao pia wanafanya mikakati ya kuimarisha huduma zao. ninasema hivyo kwa sababu huduma zao ni za kiwango cha chini, wameshindwa kusimamia maslahi ya abiria wao pindi mizigo yao inapopotea na kuibiwa, niwasumbufu na watu wa ahadi hewa. Ninawahakikishia Swiss Air itachukua abiria wenu wote mtaishia kuishi kwa offer. Mkalage bao.
ReplyDeletehakuna mtu makini anayepanda KLM! Nyie kuleni hiyo keki mshibe.
ReplyDeleteKLM ndio airline yenye ratiba nzuri kuliko zote zijazo bongo make unaondoka usiku unalala na unafika schipol mornie tayari kwa kuunganisha route, lakini ntatizo lao wanatuletea ndege zilizochoka bajameni!!! unakaa kwenye ndege seats zimechubukachubuka utadhani uko ndani ya shabibi unaenda dodoma!!! yani unakosa kabisa ile raha ya kuwa uko hewani ukielekea mamtoni!! Halafu wandugu cha kushangaza KLM wana bei ya juu sana! waarabu bwana midege yao iko mswano ya kufa mtu!! emirates, quartar duh ziko bomba ile kinoma halafu hata bongo wanaleta ndege kali!! na kama ndo unaunganisha route sijui unaenda NY mwanawane basi ndege watakayo kupandisha pale dubai au doha itakufanya umpigie magoti mzungu!!! ile midude wanayoipeleka ulaya na states waarabu ile ni kufuru!!! unaweza udhani kuwa halitaweza kupaa kwa jinsi ilvyo mikubwa kwanza halafu ndani mwanawane duh! ka' uko mbinguni vile. halafu klm wachoyo flani wa vinywaji wanawahi sana kufunga, hawa waarabu kama wewe ni mtaalam wa bia basi utazikoga yani ni wewe tu. KLM inazidiwa hata na KQ!
ReplyDeleteHongera KLM lakini huduma zenu si nzuri sana. Chakula chenu hakiridhishi na wizi wa mizigo ya watu. Mieniliibiwa vitu vya gharama sana lakini walinikatalia kunirudishia pesa angalau kidogo ya kufutia machozi . Mnyonge hana haki. Poor customer relations. Poor services. Ndege zimechokaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKLM remains the most reliable airline which connects Tanzania to the rest of the world. It is very true that their services are not delighting the customers, something they should work more on.
ReplyDeleteIn my opinion, they are really trying, their flight cruise are friendly and seem experienced and food/drinks are fairly nice.
Dear KLM, you are the most reliable airline. I was onboard last December to and fro Tanzania and I was satisfied to be honest. But you should take these comments from different customers to MAKE NEW FLIGHT EXPERIENCE TO YOUR CUSTOMERS! Outperform your competitors and go further, you deserve that and you can do it. THANKS FOR CONNECTING US WITH THE REST OF THE WORLD.