KAMPUNI MAARUFU YA DMK GLOBAL PROMOTIONS & MDOSI WANA WALETEA MWANA MUZIKI BORA WA AFRICA "ALI KIBA" a.k.a MR CINDERELLA LIVE PERFORMANCE IN WASHINGTON DC. ATAKUWA AKIPIGA NYIMBO ZAKE MAARUFU PAMOJA NA NYIMBO ZAKE MPYA AMBAZO TAYARI ZIMEISHA ANZA KUSHIKA CHATI YA JUUTAMASHA HILI KWA MARA YA KWANZA LITAKUWA KATIKA UKUMBI WA KISASA WA ZANZIBAR NIGHT CLUB ULIOPO KWENYE BAHARI
ZANZIBAR NIGHT CLUB
700 WATER STREET,
SW WASHINGTON DC
KWA MAELEZO ZAIDI VISIT-
OR
YOU CAN ALSO CALL AT
301-661-6207
OR
301 -760-7237
ASK FOR DICKSON

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2009

    Tamasha? ama kweli kiswahili kila kukicha kinabadilika! i have got nothing agaist ali kiba, simjui, sijawahi kusikiliza nyimbo zake na wala sina lengo la kusikiliza nyimbo zake, lakini utumiaji wa neno tamasha kwa maonyesho yake nadhani waungwana hapa mmekwenda kombo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2009

    İMETULİA HİYO MKUU NAHOPE LİTAKUWA TAMASHA BAAB KUBWA , AMİNİA WAZEE

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2009

    sure!! kwa neno ''tamasha'' wamichemsha!!!!
    lakini hongereni wabongo kwa kuitangaza vyema nchi, yaani kumbi za starehe states zina majina ya kibongo!!!! nimefurahi sana kuona hiyo ''zanzibar night club ikiwa dc''
    Macmuga

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2009

    what do you mean when you wrote "live"?
    By any chance are going to see/listen this live anywhere?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...