January 21, 2006: Mama Maria Nyerere akiwa pembeni pa kiti alichokuwa akiketi Mwalimu wakati wa sala ambapo sasa panawekwa picha yake. Hiii ni katika hafla ya uzinduzi rasmi wa mchakato wa kumtangaza mwalimu kuwa mwenyeheri katika kanisa la butiama. Press Review: Tanzania’s Nyerere to be canonised
- Saturday 10 March 2007.
By Patrick Hassan-Morlai.
CLICK HERE for Source
It is easy to believe that politics and religion are two unlike bedfellows. In the person of the late president of Tanzania, both politics and religion manifested their attribute of co-existence.
For others who were very close to Julius Nyerere, his religious conviction and marked display of honesty, writes catholic priest, Father Arthur Willie, influenced them profoundly and enriched them greatly.
Writing in the spring edition of the London based Catholic magazine, Mission Today, out on Sunday (04 March), retired Fr. Willie says “while we are doing all we can to aid the canonisation process, we already believe [Julius Nyerere] is a saint”. It has been reported that that the Bishops of Tanzania have joined ranks with many Catholic faithfuls to see Nyerere, one of a few modern day presidents become a saint.
Already Julius Nyerere(photo) who died in 1999 at the age of 77, has passed the first step to become saint when he was recently declared ‘Servant of God’.
This means that witnesses have already testified before a tribunal set up by the local bishop and accepted concrete facts on the exercise of Christian virtues by Nyerere which the Church considered heroic.
These virtues include the theological virtues of faith, hope and charity, and the cardinal virtues of prudence, justice, temperance and fortitude.
At present, a postulator, resident in Rome and who heads a panel of nine theologians are making further examinations of the life of Nyerere. If found above reproach, Servant of God Julius Nyerere will be beatified like Mother Teresa of Calcutta was beatified on 19 October 2003 by the late pontiff John Paul II. After his beatification by the Pope, the Church will then allow public veneration of Julius Nyerere.
It will be recalled that until 1997, the Vatican kept secret the entire canonization process. However, on 25 January 1983, Pope John Pope II promulgated the canon laws regarding the canonical procedure to be followed.
These laws are contained in the Apostolic Constitution ’Divinus Perfectionis Magister.’ It is only on 12 September 1997 when the Holy See Press Office made public the canonical procedure for causes of beatification and canonization.
Accordingly, five years must elapse from the death of the faithful before a request is made for his/her beatification. This request will trigger the empanelling of nine theologians to examine the life of the person. If the panel votes in the person’s favour, the necessary documentation is then passed to a body of cardinals and bishops of his congregation to conduct further examination.
This body will meet twice a month and if it makes a judgment favourable to Nyerere, this will then be presented to the Holy Father, who gives his approval and authorizes the congregation to draft the relative decree. The public reading together with the promulgation of the decree follows.
The next stage for Nyerere’s beatification is for an appropriate canonical investigation to certify that a miracle attributed to him had occurred after his death. The Church will then issue a second decree and once these two decrees have been promulgated (regarding heroic virtues and miracle) the Pope decides on beatification, which is the concession of public worship, limited to a particular sphere.
With beatification, the candidate (Nyerere in this case) receives the title of ‘Blessed’. For Nyerere to be canonized as saint, a further miracle is needed which is attributed to his intercession and occurs after his beatification.
The procedure for certifying that such miracle has occurred is the same as that followed for beatification. Canonization is understood as the concession of public worship in the Universal Church. Pontifical infallibility is involved. Once Nyerere is canonized, he acquires the title of Saint.
Cardinal Polycarp Pengo who announced the Vatican’s approval that Julius Kambarage Nyerere be called ‘Servant of God’ has noted that ‘we are presenting his cause based on his life as a Christian and how his faith influenced his entire political career’.
Nyerere once told his local bishop that ‘without daily Mass it would be impossible for me to do my work’.
Like Kwame Nkrumah of Ghana, Nyerere led his people to independence on 9 December 1961, first as prime minister and after the unification of the union of Zanzibar with Tanganyika; he became the first president of Tanzania and ruled that state with an unblemished record for 24 years.
It is befitting that both Nyerere and Nkrumah should be remembered in this week’s press for worthy causes. For the latter, March 06 this year will mark the 50th anniversary when he won independence for his country from Britain. Tanzania also won her independence from Britain.
‘Mwalimu’, teacher in Swahili, as Nyerere was popularly called, told his people after gaining independence that ‘we the people would like to light a candle and put it on the top of Mount Kilimanjaro that would shine beyond our borders, giving hope where there is despair, love where there is hate and dignity where before was humiliation.’
Truly in this Servant of God, one sees that both religion and politics co-exist giving us today an example not to justify using either as a cause to engage in violence, injustice or treating others less favourably for whatever reason.
Accordingly, Fr Arthur one day asked President Nyerere about his heroes he replied, ‘Mahatma Gandhi and Abraham Lincoln. They taught the world essential values that will always be meaningful - non-violence by Gandhi and equality by Lincoln’.
Fr Arthur concludes that Nyerere indeed lived these values and fiercely opposed discrimination, whether racial, tribal, religious or economic.
The Patriotic Vanguard wishes those working towards the canonisation of Julius Nyerere all the best they hope and pray for and all those celebrating Ghana’s 50th independence anniversary a big congratulation.
Long live Africa!


What??????
ReplyDeleteseriously????????
ReplyDeletegive me the definition of it
Hii ni kali!!!!
ReplyDeletendugu wadau, naomba nieleweshwe vizuri sifa za mtu kutangazwa mtakatifu! mimi bado nina shaka pamoja na mengi mazuri ya mwalimu JK kuwa mtakatifu.na kwa vp mchakato uanzie uganda?
ReplyDeletehaha hivi ni kweli waliosema ahera/heaven ni hapa hapa dunia ,kumbe na hukumu sina fanywa hapa ,sasa huyo aliye mpa madaraka hayo M7 kujua nani anafaa kuwa mtakatifu na nani asiwe nani?
ReplyDeleteAU-m7 ANAJIFAGILIA KWA AINA YAKE ANATAKA WABONGO WAMPENDE KWA NI ANAJUA KUWA TUNA MPENDA MWALIMU?
Dunia sasa inakwisha.....
ReplyDeleteUtakatifu wa mkatoliki ambaye ni marehemu huamuliwa na uongozi wa kanisa katoliki katika ngazi ya Pope.
ReplyDelete2. Padre Nkwera alitengwa tayari na kanisa katoliki japokuwa mama maria na binti yake Anna ambaye ni mtoto wa pili wa Mwalimu na mama Maria ni waumini wakali wa Padre Nkwera. sina ushahidi kama Mzee Nyerere alikuwa ni muumini wa Nkwera.
3. Kwenda Uganda na kihususisha serikali ya Uganda na Museveni ni dhahiri uongozi wa Katoliki nchini hapa umezidiwa kete. Hii Ajenda ya utakatifu wa Nyerere ulikuwa unasimamiwa na Pengo. Sasa inaelekea Nkwera kwa ukaribu wake na Mama Maria kawazidi kete na imekuwa agenda yake.
4. Mzee Nyerere alipokuwa hai kabla ya kufa familia yake na pengine hata ndugu zake walikuwa ni sehemu ya maisha yake. Lakini kiimani baada ya kufa si mama maria wala watoto wake ambao wana mamlaka naye tena. Hiyo ni domain ya Mungu na ufalme wake. Sasa hawa akina Nkwera bado wanataka kujifanya wanayo control. Wanaingilia eneo ambalo silo lao na kwa kweli wanatafuta hasira na kuaibishwa na Mungu.
Siyo siri kama vile kila mtu atakavyoubeba mzigo wake siku ya kiama, wanachofanya wao hakina hekima hata kidogo. They are just playing politics.
Hivi wanafikiri kama Nyerere ni mtakatifu na wao ni automatically? Huko utakatifu wako unategemea matendo yako hapa duniani.
DUNIA IMEKWISHA NA NINI? ACHENI UNAFIKI KAMA HUELEWI SEMA UELEWESHWE SIYO UJIDAI DUNIA IMEKWISHA, UMEIMALIZA WEWE.
ReplyDeleteMchakato? Ukistaajabu ya Mussa .....
ReplyDeletesalamu WABONGO, mimi kwa kweli napata wasiwasi na hii kasi ya MUSEVENI na WAGANDA wengine kwa watanzania.
ReplyDeleteNaomba mnisaidie.Kwanza suala la mtoto wa AMIN kwenda BUTIAMA na kukutana na familia ya watooto wa Mwalimu, nnilielewa kuwa, mwanaye huyo amepevuka, nna kwambba sasa anajisikia vibaya kwa yale yaliyotendeka hapo nyuma (kwa kufanywa nna Baba yake) hhivyo akawa anatafutta muafaka ili tujisikie sisi na vizazi vijavyo kuwa ni kkitu kimoja. Lile suaala la MUSEVENI, kumtambua Marehemu Mwalimu nna kumtunuku nishani ya heshhima kupitia familia yake, sikuliewa, lakini baadaye wananchi wenzangu walinisaidia kunielewesha, kwani nilihisi kkwamba MUSEVENNI anajaribu Kukiteka kitu fulani hivi cha WATANZANIA, Pengine na AFRIKA, kiujanja-ujanja.
Sasa hili lingine nni NENO!!!!!!, Twwajua masuala haya ni ya kiiimani/kidini Zaidi. Lakini Brother MUSEVENI anapotia hekima zake NASI wana wa AFRIKA MASHARIKI, twamfahamu, nnami nnaingia wasiwasi. Mambo yake kama vvionngozi wetu wa BBONGO, Mara aliidhhinisha kuuzwa kwa ule msitu wwa kule kwao ambao unawapaatia mvua WAGANDA za kuotesha mahindi na maharagwe, kwa yule mwekezaji wa NDIZI ..... MUNGU BARIKI msitu uukakombolewa nna WAGANDA. Kwa sasa anawania kisiwa cha wale watoto wa Baba MOI alioachiwa awalee na mzee KENYATTA, Ni yeye alitaka abadili kattiba ya nchi yake aendelee na UKUU, Kwa ndoto ya kuwa rais wa SHIRIKISHO, kule kwake kaskazini vita ni yya kudumu, DARFUR isiyoonekana, na sasa ni hili suaala la Mwalimu nna mchakato wa wwatu wa DINI, kwa kweli MBONGO mwenzenu naona MAUZA-UZA, tusaidiane jamani.
Nawasilisha, Dada,R.
MWALIMU ANASTAHILI KUWA MTAKATIFU. AMEWEKA MSINGI WA AMANI YA NCHI YETU. ONA HII ATRICLE KWENYE LINK IFUATAYO http://www.newvision.co.ug/D/8/13/683412
ReplyDeleteUGANDA’s state of ‘peacefulness’ is still low, according to a report released by the Institute for Economics and Peace yesterday.
The Global Peace Index (GPI) report released at the Centre for Strategic and International Studies in Washington, shows that out of the 144 countries surveyed, Uganda ranked at position 103.
In the league of Africa countries, Uganda ranks 17th out of 31 countries sampled.
The most peaceful countries in Africa are Botswana, Malawi, Gabon, Ghana and Mozambique. Tanzania leads the pack in East Africa being the 59th overall globally and seventh in the region.
Post-genocide Rwanda, too, beats Uganda in the ranking, emerging 86th overall and 13th on the continent.
Kenya wallows on the 113th position internationally and lies in the 19th in Africa.
New Zealand ranked as the world’s most peaceful country, followed by Denmark and Norway. Rounding out the top five were Iceland in the the fourth place and Austria in the fifth position.
Overall, the GPI revealed that small, stable and democratic countries ranked highest of the top 20 countries are in western and central Europe.
Iraq was again the world’s least peaceful country in 2008, remaining in 144th position.
Afghanistan, Somalia, Israel and Sudan were the next least peaceful, ranking 143rd to 140th respectively. Bosnia and Herzegovina was the biggest riser, up 23 places to 50th position this year, while Madagascar saw the biggest fall in ranking (30 places) amid mounting political instability and violent demonstrations.
The Index defines peace as “the absence of violence,” and looks at 23 qualitative and quantitative indicators of external and internal measures of peacefulness.
Internally, these include homicides, the percentage of the population in jail, the availability of guns, and the level of organised crime.
External indicators include the size of the military, exports and imports of arms, battlefield deaths, UN peacekeeping contributions and relations with neighbouring states.
M7 anamipango yake ya kugombea uraisi wa East Africa, naona ameshaanza siasa, anatumia jina la nyerere kujitangaza, ila si kweli kama anafuata nyayo za nyerere hata kidogo, kwani yeye ni Dikteta na Fisadi kubwa
ReplyDeleteMwalimu alikuwa kiongozi mzuri, na mcha Mungu. lakini hili la kusema alikuwa mtakatifu nadhani tumekwenda mbali kidogo.
ReplyDeleteyaani tuseme Mwalimu ktk ukatoliki wa Tanzania ana sifa na hadhi kuliko Kardinali Rugambwa. sijasikia kama kuna mchakato wa kumfanya Kardinali Rugambwa mtakatifu.
Jamani tusilumbane bila sababu. Tusome kitabu kitakatifu BIBLIA vema na kumuomba Roho wa Mungu atuongoze kuelewa Mtakatifu ni nani. Ni yule anaempenda Mungu na kuishi maisha matakatifu na maana ya kumpenda Mungu ni kutii na kushika Amri zake na kuishi kama watu wanaotambua kuwa Yesu Mkombozi atakuja tena kutuchukua siku ya kiama. Hao ndio Wataklatifu. Waliao mpokea Yesu kuishi kama yeye alivyoishi hapa duniani. Nawakilisha tu.
ReplyDeleteNi Mungu pekee anayejua kuwa mja wake ni mtakatifu au la! Kila binadamu (hata viongozi wa juu kabisa wa kanisa) ana mapungufu yake hivyo si sawa kwa binadamu kutangaza eti fulani ni mtakatifu au la. Hii ni sawa na kutoa hukumu ya "watakatifu" na "wasio watakatifu". Biblia inasema "Usihukumu ili nawe usije ukahukumiwa".
ReplyDeleteNaomba niseme kitu kimoja, naona watu wanataka kupotosha, kama ujui imani ya kikatoliki ni bora ukae kimya. Kuna mtu anasema anataka definition, mwingine anauliza kwa nini mchakato uanzie Uganda? Mchakato hujaanzia Uganda, ulianzia Butiama. Ni hivi kila mbatizwa ana haki ya kuwa Mtakatifu, "we are all called to holiness" . Kumbe Jimbo la Musoma lilituma maombi Rome, na Rome ilifanya uchunguzi wa Maisha ya Mwalimu na wakatoa kibali. Kumbe kuna mambo mengi sana walitakiwa kupeleka Rome kama historia ya maisha yake, maisha ya dini etc. Kumbe baada ya hapo Rome ilitoa kibali cha kumtangaza "Servant of God" mtume wa Mungu....kumbe hili la kumtangaza lilifanyika Musoma na Ibada kuongozwa na Cardinal Pengo na Maaskofu wengine. Kumbe baada ya hilo, ni Rome sasa ndiyo inayoendelea kufanya mchakato, pia ni lazima kuwe na miujiza mitatu ambayo itakuwa imeshuhudiwa na madaktari na kuthibitisha kuwa ni miujiza basi anaweza kutangazwa kuwa mtakatifu, ni hatua ndefu, kwa wengine inachukua zaidi ya Miaka kumi hadi 100, kwa wengine miaka Mitano. Kumbe ni hivyo tu.
ReplyDeleteI AM PRETTY SURE THAT THIS THING HAS NONE TO DO WITH POLITICS ACCORDING TO WHAT I KNOW ABOUT M7,HE WANTS NONE FROM TZ HE'S JUST CLOSE FRIEND OF OURS.M7 HAWEZI KUSIKIA KITU KUHUSU TANZANIA AKACHA KUSHIRIKI NA HUSUSANI KUHUSU MWALIMU,TEACHER ALIKUWA MTU WA KARIBU SANA NA M7 NA NDIO ALIYEMLIA SO ILIBIDI PIGA UA GARAGAZA AENDEE HATA KAMA IMANI NA VITU VINGINE HAVIMRUHUSU.NINACHOJUA M7 ANAPENDA SANA WATZ INAFIKIA MPAKA KIPINDI ANAKWENDA BAADHI YA MASHULE KUANGALIA WABONGO IMAGINE.SWALA LA MWALIMU KUTANGAZWA KUWA MTAKATIFU HII NI IMANI YA WAKATOLIKI KWANI WANA UTARATIBU WAO WA KUTANGAZA WATAKATIFU NA HII ILIBIDI IFANYIKE UG KWANI KWA EA UGANDA NDIKO WAKATOLIKI WANAKWENDA KUHIJI NI KAMA MAKA KWA WAISLAM UKITOA ROM.WATU WENGI KILA MWAKA WANAKWENDA WENYE IMANI YA KATOLIKI HUWA WANAKWENDA HIJA UG THAT MUCH I KNOW,KWA KWELI SWALA LA NYERERE KUWA MTAKATIFU KWA UPANDE WANGU SILIAFIKI HATA KIDOGO KWANI UKIFA BIBLE INASEMA UNAPATA HUKUMU HAPO HAPO SASA WAO WANA UHAKIKA GANI KAMA AMEKWENDA MBINGUNI AU MOTONI NA ISITOSHE UTAKATIFU WA MTU UPO NDANI YA MTU MWENYEWE KAMA ISINGEKUWA HIVYO BASI BIBLIA ISINGESEMA KWAMBA KUWENI WATAKATIFU KAMA BABA YENU WA MBVINGUNI ALIVYO MTAKATIFU THIS SCRIPTURE CLEARLY SHOWS THAT HOLINESS STARTS FROM HERE NOT AFTER THE DEATH,SASA HUU UTAKATIFU WA WAPI NA VILE VILE BIBLE INAKATAZA KUFANYA IBADA YA WAFU NA HAWA I AM SURE WATAANZA KUOMBA KWA JINA LA NYERERE WHICH IS AGAINST NA BIBLE,DUU HAPA KUNA MENGI YA KUWAFUNDISHA HAWA NDUGU ZETU ILA WACHA NIISHIE HAPA.MSIPOTEZE WATU WA MUNGU MTALIPA KWA HILO.
ReplyDeleteAnony 6:28 ....matumizi ya neno 'kumbe' yamepitiliza. Hata hivyo watu wana haki ya kudadisi mchakato mzima wa 'utakatifu' na kama unadhani wasio wakatoliki wakae kimya basi ungemuomba mkuu wa wilaya ya nanihii asitoe hiyo habari ili iwe katika blogu ya wakatoliki.
ReplyDeleteHivi ni mchango gani alioweka kwenye kanisa mpaka kuwashinda mapadri na maaskofu ili yeye apapte cheo hicho?
ReplyDeleteUkizingatia, mafanikio mengi ya kisiasa aliyoyapata Marehenu Baba wa Taifa, kama amani na utulivu, umoja n.k. pia maraisi wengine wa kikatoliki wameyapata kwengine.
Wekeni wazi mtaje hiyo miujiza mitatu aliyofanya Baba wa Taifa.
ReplyDeleteMsiseme ushindi wa vita vya uganda wala kushindwa kwa uhaini mwaka 1964. wala kufaulu kuunganisha watu kwa kiswahili.
JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA. WEWE HUJUI MAANA YA UTAKATIFU NA HAO WAKATOLIKI SIO WAJINGA HADI WAWEKE MISINGI WAIJUAYO.
ReplyDeleteILA CHA MSINGI NI KUWA NI KWANINI SWALA LA MWALIMU LIPELEKWE UGANDA? JIBU NNALO. YESU ALISHA YASEMA HAYA KWENYE KITABU KITAKATIFU KWAMBA "ALITUMWA KWA WALIO WAKE NAO HAWAKUMTAMBUA. WALIO MTAMBUA NI WENGINEE NA HAO WALIFANYIKA KUWA WATOTO WA MUNGU" SASA WATANZANIA HAWAKUMTAMBUA MWALIMU KAMA NABII WA MUNGU. AMEONDOLEWA KWENU NA KULETWA KWA WALE WALIO MTAMBUA NA KUPEWA BAHATI YA KUMCHAKATUA HUYU MTUMISHI WA MUNGU KUWA MKUBALIWA MBELE ZA MOLA.
WALE WANAO BEZA UTAKATIFU WA NYERERE HAWAJUI WALITENDALO. HUYU MZEE ALIKUWA MCHA MUNGU NA MNASAHAU HATA HUKO ZAMANI MLIKUWA MKIMUITA MUSA? PENGINE NYIE NI MAKINDA WA JANA HAMJUI HISTORIA. FUNGENI DOMO ZENU
Haya mambo ya kutajana utajkatifu, msishangae hata benjamini Mkapa aitaitwa mtakatifu. Ohh nyie subiri muone.
ReplyDeleteJamani koote tunazunguk Mbuyu, iwe Mwalim anatwangazwa utakatifu wake au utatanifu wake Kenya au Malawi .Hivi nani asiyejua kuwa Mwalimu alikuwa mkanisa?Hebu someni kitabu cha Padri Sivalon mtaelewa.Kanisa linajua nini linafanya.M7 ni mtoto wa Nyerere, Mkapa halikadhalika na wengineo.Nyerere alitumikia zaidi kanisa kuliko nchi yetu.Itakuwa ni matusi kusema Nyerere kaleta Amani Tanganyika na Zanzibar...!Najua Bwana Michuzi utaogopa kuitoa hii kwa propaganda za kumjenga Nyerere lakini ukweli ndio huo
ReplyDeleteNampenda sana Baba wa Taifa, naomba tu NIELEWESHWE KWA WALE WANAOFAHAMU, NINI HASA HAPA KINACHOONGELEWA, Maana nimechanganyikiwa kidogo, kuhusu huu UTAKATIFU, kuna aina ngapi na huu wa Babu yetu hapa ni upi??!!
ReplyDeleteKuwa Mtakatifu ktk Kanisa Katoliki, sio lazima uwe kiongozi wa dini. Mtakatifu kwa yule aliyeuliza denition ni yule mtu ambaye kwa maisha yake hapa duniani anastahili kuwa mfano wa hali ya juu kwa WaKristo (Wakatoliki) wengine kuishi hapa duniani ili baadaye kuweza kuwa nyumbani kwa Baba mbinguni.
ReplyDeleteMchakato (process) wa kumtakatifuza mtu (Canonization)aliyetangulia kwa Baba ni ndefu na inasimamiwa na Makao makuu ya Kanisa, Rome. Hii ni muhimu kuondoa mashaka kama ambayo wenzetu hapo juu wanayaonesha. Kama ilivyosemwa hapo juu, mapaka utangaze lazima upitie mchakato maalumu ikiwa ni pamoja na miujiza inayoweza kuwa verified to be over and beyond any known or potential scientific facts. Mchakato umeelezwa vizuri kwenye waraka wa Baba Mtakatifu Yonahe Paulo II wa mwaka 2003 (Divinus Perfectionis Magister).
Process anazopitia mtu kwa kawaida ni kama 1) Mtumishi wa Mungu (Servant of God) 2) Kupasishwa (Certification) 3) Mteule (Venerable or Heroic in Virtue)
4) Mwenye Heri (Blessed) na mwisho 5) Saint (Utakatifu). Tafsiri ya kiswahili hapo juu sio rasmi - tafadhali.
Hiyo process hapo juu inaweza kuchukua miezi na miaka michache kama kwa Mama Theresa wa Calcuta, au karne kadhaa, na sio lazima kila Mtumishi wa Mungu afikie utakatifu.
Na kuhusu misa kufanyika Uganda sio jambo la ajabu hata kidogo. Watanzania pia huwa wanawaombea watu wa mataifa mengine walio kwenye canonization process. Mfano, wakati niko sekondari tulikuwa na misa mara kwa mara kumwombea Mwenye Heri Josephine Bakhita wa Sudan afikie Utakatifu. Sasa hivi ni Mtakatifu na si mimi wala yeyote ninayemjua hajaenda kugombea uraisi wa Sudan!
Wanachofanya waumini wa kanisa ni kumwomba Mungu, kama akipenda amtawaze Mtumishi wake kuwa mfano kwa wale wanoishi wakati huu. Hakuna mtu au kikundi cha watu kinachoweza kumsukuma Pope amtangaze mtu yeyote mtakatifu!
Maana ya neno Katoliki ni "Universal". Magomeni kuna Kanisa Mashahidi wa Uganda na Tabata pia kama sikosei. Mtu yeyote akitangazwa Mtumishi wa Mungu, ni wajibu wa kila mwana kanisa, Universally kumwombea hadi afikie nafasi Mungu atakayopenda afikie.
ReplyDeleteMIMI PIA NINAMPENDEKEZA MZEE MANDELA AWE MTAKATIFU, KWANI YEYE ANAZO SIFA ZAIDI YA ZILE ZA NYERERE, HILI HALINA MJADALA. VIPI KADINALI RUGAMBWA, NAYE HASTAHILI, AU LAZIMA UWE UMEPITIA URAISI NDIYO UWEZE KUPENDEKEZWA? Na huyo Mkwera anawakilisha Katoliki ipi?
ReplyDeleteAMANI IWE KWENU, JAMANI HUU NI MCHAKATO WA KANISA KATOLIKI, WAACHIENI WAO WAKATOLIKI. KILA MTU ANA UHURU WA KUABUDU HAPA KWETU TZ. HAWA JAMAA WAPO MAKINI SANA HAWAKURUPUKI, MBONA KUNA WATU HAPAHAPA NCHINI WANAJIITA MITUME, WENGINE MANABII WENGINE WAMEKWENDA MBELE ZAIDI KWA KUJIITA MITUME NA MANABII WAMEPITIA MICHAKATO GANI? TUNAWAACHIA WENYEWE, MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE!!
ReplyDeleteNYERERE HUREEEEE!!!!!!!!!!
Je, hii inaweza kuwa inafichuwa ushahidi wa walalamikaji kuwa palikuwepo na uchanganywaji wa dini na siasa? Hasa kutumia madaraka isivyo rasmi kama kunyoosha njia ya katoliki kwa namna fulani na kukunja za KKT, ANC, n.k?
ReplyDeleteNi wakati gani hasa mchango wake kanisani umekuwa wa nguvu mno?
ReplyDelete1> kabla ya 1960,
2> wakati wa 1960-1985
3> baada ya 1985
Ikiwa jibu ni wakati wa 1960-1985 basi palikuwa na utumiaji wa wadhifa isivyotegemewa.
ikiwa ni kabla ya 1960 au baada ya 1985, basi ni kiini macho maana wakati alikuwa muumini wa kawaida asiyewashinda mababa na maaskofu.
kumuombea kwa Mungu au kwa papa?
ReplyDeleteAnon wa June 04, 2009 8:57 AM, hoja yako nimeikubali, kweli kila mtu anjiita na kumwita mkewe nabii au mtume mbona hawahojiwi?
ReplyDeletelakini nahisi wasiwasi wa watu ni kama palikuwepo na "abuse of state power"
katoliki( Rumi) ni dola kijdi. Hivyo kumpa UTAKATIFU mtu kwao ni sawa sawa na rais kumteua MBUNGE WA VITI MAALUM au WAZIRI.
ReplyDeleteNakumbuka wakati wa Utawala wake:
ReplyDelete1)Kulikuwa hakuna uhuru wa biashara!
2)Kulikuwa hakuna Uhuru wa siasa!
3)Kulikuwa hakuna uhuru wa habari!
4)Kulikuwa hakuna uhuru wa kusafiri
Jamani kwa utukufu huu tutalala na njaa maisha?????
Mheshimiwa Michuzi, wengi wanaochangia mada hapa hawajui mambo na utaratibu wa kanisa Katoliki
ReplyDeleteKwanza kanisa katoliki lina utaratibu maalum wa kufanya mambo yake si kwa siri au kwa upendeleo, bali kwa haki na utaratibu uliowekwa kama serikali inavyoongozwa na sheria za nchi na katiba.
Kwa maana hiyo Kanisa katoliki limesimama katika muhimili wenye mizizi na hivyo halitikisiki kutokana na kufanya shughuli zake kadiri ya CANON LAW ambayo ndio katiba ya sheria za dini katoliki.
Mtu mmoja au askofu fulani na hata awe kardinari hawezi jichukulia hoja fulani pekee na kuiropoka mpaka iwe imepitia vikao vya pamoja na mmoja anaposema ujue hapo ni kauli ya wate kwa vile mambo yameshachujwa kwa uangalifu mkubwa, ndo maana waona wakatoliki huwezi ona wanakurupuka kutoa maoni ovyo ovyo.
Suala la kuwa mtakatifu ni hatua ndefu kama wengi walivyoanisha hapo juu. Mpaka kufikia huko itachukua muda mfupi au mrefu tokana na hasa miujiza ya kuthibitisha hoja ya wazi.
Kwa maana hiyo tusifikirie kibinadamu ila Mungu humthibitisha kuwa ni mtakatifu kupitia miujiza ambayo Mungu ataifanya kupitia huyu mtarajiwa kuwa mtakatifu, bila hilo hawezi kamwe kutangazwa mtakatifu.
Pia ieleweke kuwa si kwa vile amekuwa rais ila maisha yake ya kikristo ya kila siku, kutendea haki, kutetea wanyonge, kuwa mfano wa maisha safi ya ndoa, kutetea maisha ya familia, napia licha ya kama rais kutingwa na shughuli nyingi, lakini awapo nyumbani au ugenini anapofika po pote hata ughaibuni kitu cha kwanza ni kujua kanisa lipo wapi atakapoenda kusali asubuhi.
Mtakumbuka katika mazishi yake, Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Bibi Maderlin alimsifia kuwa ni mtu mpenda sana sala.
Kwa majumuisho hiyo ni kazi inayochukua muda na kuthibitishwa na Mungu kwa njia ya miujiza ya wazi ambayo huwa vigumu kama kuponyeka kibinadamu na kisayansi. Mungu anaweza fanya hiyo kwa ajili ya kumtangaza mtumishi wake aweze fahamika Mtakatifu ili kutoa mfano kwa waamini na wanadamu wengine.
Suala la Fr. Mkwera kuonekana hapo lisiwaumize vichwa. Fr. Mkwera ni Mkatoliki safi na anaitumikia dini yake kikamilifu bila woga mbele ya macho ya Mwenyeezi Mungu. Kilichofanyika ni kusitisha shughuli zake za huduma kama padre kutofanyika kwa vile Kanisa katoliki hufanya shughuli zake kwa misingi ya hierarikia. Shughuli zote zinazofanyika katika utumishi wa kipadre hufanyika kwa maagizo ya askofu wa jimbo unalotumikia. Lakini inapothibitika unafanya wewe mwenyewe binafsi bila maelekezo ya mkubwa wa jimbo lako basi shughuli hizo hazifanyiki kadiri ya mipangilio ya sheria za kanisa kwa vile kanisala katoliki lina utaratibu wake na sheria zake ambazo zimejengwa kwenye misingi ya kitabu cha sheria "CANON LAW." Kumbuka Waziri au mkuu wa mkoa atafanya shughuli zake za utumishi seikalini kadiri ya ilani ya uongozi wa taifa yaani Rais, lakini ukikiuka msingi huo utawekwa kando na mwingine atakayefuata misingi ya uongozi wa rais atachukua nafasi. Lakini haki nyingine kama mkatoliki anazo, hapo nimejaribu kidogo kuwaelewesha wasiofahamu nini mkwera kuonekana hapo.
NAWASIHI WATANZANIA TUWE MAKINI KATIKA KUTOA MAONI NA TUWE TUNAONYESHA KUELEWA KINACHOTAKIWA KUTOA MAONI KWANI WENGI TUNAKURUPUKA TU KUANDIKA NA KUTOA TAFSIRI YA KITU AMBACHO HATUKIJUI. VINGINEVYO KAMA SIJUI AFADHALI NITULIE NA KUSUBIRI KUSOMA YALE YANAYOTOLEWA NA WANAOKIFAUAHU AU KUUJUA UKWELI, VINGINEVYO ULIZA UFAHAMISHWE ILI UANDIKE KITU KINACHOLETA MAANA NA MTU MWELEWA NA HIVYO KUKUJENGEA DHANA NZURI
Anon wa June 04, 2009 4:14 PM, unafikiri watu ni vichaa kwamba hawaelewi wanachoandika? Au unajisikia vibaya kuhojiwa? Au unafikiri woote ni wakatoliki? Au unafikiri watu wote wawe na fikra, dhana na maswali sawa? Au wewe ndo huelewi basi unawalaumu kuwa hawaeleweki?
ReplyDeleteWatu wanataka kujua hiyo miujiza alioifanya akiwa raisi, wekeni wazi.
Tunakubali kanisa halimpendelei ila tunakataa kwamba hamna siri. Sababu za kupewa cheo hiki zitakazotajwa ni zile zinazouzika kama (miujiza, si sala tafadhali) na nyengine zisizouzika hatutazisikia.
Kama watoto wake, watanzania woote wana haki ya kujua yoote kuhusu babao.
Alikuwa mwaminifu katika kanisa lake na alijitolea kulitumikia kwa moyo mmoja hata kama ilibidi atumie madaraka yake. Soma kitabu cha sivalon (Kanisa katoliki na siasa za Tanzania) kipo mataba ya UDSM.
ReplyDeleteNafikiri kama kila raisi akitumikia dini yake kiasi hicho kilichotajwa na sivalon basi amani italegea.
lililo kuu ni upendo!!! ukiwa na upendo ni vigumu sana kujikwaa ndani ya moyo!!! Mwalimu nyerere wakati anafundisha sekondari ya pugu kabla ya uhuru wa Tanzania, kati ya wanafunzi aliyewafundisha mmoja alikuwa Rais mstaafu Ben mkapa.
ReplyDeleteMiaka fulani ya nyuma wakati Rais wa sasa Tanzania alipokuwa anasoma chuo kikuu cha dsm, mwalimu alikwenda kutembea pale chuoni na kumkuta kikwete ni makamu wa raisi wa chuo, mwalimu alimwambia jk siku moja atakuwa raisi wa tanzania.
Tukiendelea kuwa na upendo tutaweza kukumbushana mengi tuliyo jifunza kwa mwalimu.
Lililokuu ni UPENDO!!!
Mdau canada!!!
We anon wa June 04, 2009 11:03 PM, mbona alimkunjia asiwe raisi mwaka 1995? Na andhani angekuwa hai basi JK kamwe asingeupata, maana wanafunzi wa Baba yetu kule pugu ni wengi.
ReplyDeleteKumbe huyu baba alikuwa anafata dini kwa kiwango hicho, mi siamini. Mbona sasa alikuwa anakataa uchanganywaji wa dini na siasa. Lo mtu kuvunja sheria zake mwenyewe, sisi tuwe wapagani yeye aende mbinguni.
ReplyDeleteKama kweli basi tuorodhesheeni hiyo miujiza aliyoifanya baada ya kuwa kashafariki na kuhifadhiwa.
ReplyDeletenakujibu wewe anon wa 9:18
ReplyDeleteNi kwamba tumejifunza vitu vingi kwa mwalimu kimojawapo ni UTII!!! kuwa na uvumilivu.Kikwete alikuwa mtii na mvumilivu!!!mwalimu alikuwa analijua hilo, na ndio maana wakati wake ulipofika alichaguliwa kuwa raisi, hata hivi sasa tunajivunia naye anavyoiongoza Tanzania vizuri.
UKITAFAKARI UTAGUNDUA!!!
Mdau canada!!!
Follow this link and read the article you will understand why this is happening (He was a Christian Crusader)
ReplyDeletehttp://victorian.fortunecity.com/portfolio/543/nyerere_and_islam.htm