Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Higherlearninglitakalofanyika Julai 3 kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es alaamwakimsikiliza mwalimu wao Frolence Jasephat kulia, wakati wa mazoeziyao yanayoendelea kwenye Club ya Billicanas

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2009

    Ndugu zangu naelewa kila mtu na maisha yake, ila kusema ukweli Tanzania kama nchi can't go anywhere if keep we ourselves busy with these kind of stuff.
    Naona sasa kutakuwa na miss mama ntirie (if that's the right word).
    The question is why??????

    Watoto wa shule nilifikiri ndo wangekuwa busy wanatafuta njia mpya za kosolve matatizo, ila naona hata management za shule zinaruhusu viti hivi, badala ya watoto kuchallenge each other on academic issues.

    I hate complaining ila ukweli we will be complaining for a while

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2009

    Mdau nakuunga mkono...tumekuwa watu wa kuridhika na hizi instant gratification craps [miss upuuzi, fashion shows, kamari, ulevi] na kadhalika. TZ sasa haina mbele wala nyuma na hakuna chombo kinachodhibiti maadili wala mipaka ya kibiashara.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2009

    Sasa kama mtoto yuko shule badala yakukazana na shule apate kalatasi nzuli, eti u missi,,,aisee! hiyo nimoja wapo yakuendeleza umalaya ndani ya wanafunzi,,mwanafunzi hatakiwi kusifiwa kwamambo mengine tofauti na ujasili alionao kwenye masomo,,labda kwenye michezo mingine kama ya sport yakunyoosha misuli, sio asifiwe eti missi na masomo sifuli yenye masikio laa!!.,,

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2009

    Tanzania tunapenda kuiga kila, na kwa sasa tumevalia njuga hili la u-miss, kila u-miss unaibuliwa kila leo, naamini kuna siku tutasikia kuna mashindano ya miss prostitute

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2009

    huyo mtoto yuko mwake si mchezo. kitu kiko tight ile kinoma. ha'fu joto lake mh la kibongobongo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...