
Mabingwa wa kombe hilo mwaka jana Kilimanjaro Fc wako mtumbwini VIKING LINE kuelekea Helsinki kutetea kombe lao ambalo mwaka jana walilinyakua kimungumungu huko kwao sweden.
Inasemekana kuwa zaidi ya watanzania 200 kutoka sweden wako njiani kuelekea helsinki kushuhudia makamuzi hayo.
Habari kutoka Helsinki zinasema kwamba vijana wa Fc Bongo wako fulu-mziki mwaka huu na wanawasubiri kilimanjaro kwa kiu kali sanaaaaa.
Na FC Bongo wameahidi kutoa pilau yenye nyama na vipapatio baada ya gemu. Habari za ndani toka Helsinki zinadai kwamba baada ya 'babu' kuchungulia imeonekana kwamba hadi mapumziko, Kilimanjaro Fc 0 na Bongo Fc 2.
Mpira umekwisha. Kilimanjaro FC, Sweden wameibamiza FC Bongo, Finland mabao 8 kwa 1.
ReplyDeletevijimambo tu vya kupasha misuli! Na uoga wao kuchezesha kina Machupa na Shekhani Rashidi kwenye match mbuzi.
ReplyDeletehatimae tumefanikiwa kufungwa duh noma babake
ReplyDeleteLeo Iikuwa fully kipigoo kwa vijana wa helsinki na hiyoo ndio habarii kaka michizii 8-2 sio machezoo vijana wa sweeden nomaaa...Mdauu KONTULA
ReplyDeletespeechless....chacha..ezza mambo vipi
ReplyDeleteOya annon wa pili siku nyingine mtapanga list yetu (Kilimanjaro) ili msilalamike au nikikurahisishia sema utasema nani haruhusiwi kucheza kati ya wale waliokuja halafu mambo yatakuwa poa
ReplyDeleteMdau Stockholm