Siku ya Afrika iliadhimisha rasmi jana hapa nchini Uingereza kwa kujuisha nchi zote za Afrika zenye Balozi au Wawakilishi wao hapa nchini Uingereza.
Katika sherehe hiyo rasmi ya kuadhimishwa kwa Siku ya Afrika, kulitolewa hotuba na Balozi wa Botswana na mbaye ni Mkuu wa Mabalozi wa nchi za Afrika hapa Uingereza, Mheshimiwa Roy Blackbelly.
kabla ya kutolewa hotuba hiyo, Balozi wa Afrika ya Kusini, Mheshimiwa Mama Lindiwe Mabuza, alifungua kwa kuwakaribisha Mabalozi, Wawakilishi, Marafiki wa nchi za Afrika na wageni mbalimbali waalikwa kwa kuwashukuru na kujumuika kwao na Waafrika wote Duniani katika kuadhimisha rasmi siku hiyo hapa Uingereza.
Upendo, Ushirikiano ,Mshikamano miongoni mwa nchi zote za Afrika, Kufuta Umasikini, kudumisha Amani vilihimizwa sana.


Susan mzee anafanya kazi gani?Chadema mbona hawana mwakilishi wao?
ReplyDeleteSusan Lyimo Mzee ni mwenyekiti wa CCM UK na mke wa mwandishi mahiri Ayuob Mzee ambaye pia ana BLOG yake.hiyo Mzee ni jina la mume wake.MR.AYOUB MZEE.
ReplyDeleteJamani mbona hii siku hapa USA hatujaishangilia?
ReplyDeleteMchumi wa Texas
Ayoub Mzee ni mdau wetu huwa anatuletea mapicha ya ukerewe humu.hongera mr.Ayub mzee ila shemeji yuko busy sana na minuso.mtafutie kazi afanye.
ReplyDeletelabda shemeji susan alikuwa anamwakilisha mumewe kwani naona kabeba bonge la kamera utafikiri michuzi enzi za 1990s alipokuwa hana Digital.
ReplyDeleteWEWE ANONYMOUS
ReplyDelete1.(June 01, 2009 3:03 AM, Mtoa Maoni)
2. June 01, 2009 4:28 AM, Mtoa Maoni
3. (June 01, 2009 2:26 PM) Mtoa aoni,
4. (June 01, 2009 4:01 PM, Mtoa Maoni)
a)ANAITWA, SUSAN MZEE (SIO SUSAN/SUZAN LYIMO MZEE.
b)YEYE NI KATIBU WA TAWI - CCM UINGEREZA na SIO MWENYEKTI(HILO UNALIJUA FIKA, ILA UNALETA UZUSHI).
c)MUME WAKE ANAITWA, MBARUKU MZEE (SIO AYOUB MZEE) (HILO PIA UNALIJUA LAKINI BADO UNAENDELEZA UZUSHI NA CHUKI BINAFSI).
d)ANAMWAKILISHA MUMEWE!!!!! WAPI??? "ETI UNAONA KABEBA BONGE LA KAMERA UTAFIKIRI MICHUZI ENZI ZA 1990s ALIPOKUWA HANA DIGITAL"(WEWE UMEIJUAJE HIYO, MBONA KATIKA PICHA HIYO KAMERA HAIONEKANI VIZURI!!!!)
UNAANDIKA MAONI/MASWALI NAKUJIJIBU MWENYEWE, ACHA MCHEZO WAKO MCHAFU, TUTAKUANIKA HAPA KWENYE HUU MTANDAO WA JAMII HALAFU USHINDWE KUJINASUA, ANYWAY UNAJULIKANA.
hivi hawa wanaosema susan mzee ni mke wa ayoub mzee mbona wamechemsha sana, yeye ni mke wa mbaruku mzee kijana mmoja safi sana. mke tu ndio mbwembwe nyingi mara ccm , sasa naona anataka kuwa katibu wa blog ya jamii maana camera ya michuzi haitoshi kunasa vya ulaya.
ReplyDeleteSusan unakataa nini wakati umeshika bonge la kamera?
ReplyDeletepia umekasirika sana kwenye picha hii au ulilazimishwa kubeba hilo kamera?
Susan unataka kutishia watu Nyau?lakini Mr.AYOUB Mzee ana blog jee hizo picha kwanini hazionekani kule kwa Mr?
ReplyDelete