

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh. bro michu naona umeamua kuwa biased!!! au aliyekutumia picha hajakutumia difelenti varayatiiz??? naona umeng'aa na surazzz tu. wapi pajazzzz sasa??
ReplyDeletehaya bwana leo eiza nile tu huu ugali bila mboga au nilale njaa!!
mdau wa pajazzzz
...UKIMWI hauishi kabisaaaa...
ReplyDeleteannon #1...ana msongo wa akili
Cmchezo kwa sura mtoto katulia, Bomba kishenzi, michu tuletee picha zaidi kwa chini ili tufaidi zaidi.Mwinyi Mpeku
ReplyDeletesijaona competition yeyote kati ya huyo miss n the runner ups.
ReplyDeleteDuh? huyo first runner mbona hana mpya? yaani kweli hapakuwepo na wa kumpiku? Asa hiyo ndo lip-stick gani? Kweli tuko serious au ni ili mradi "YAMEFANYIKA"
ReplyDeleteGJK
UKIMWI UTAISHA VIPI WAKATI MNAUENEZA!
ReplyDelete