Miss Morogogoro 2009, Mrembo Tory Oscar (21) ( kati kati) baada ya kutwaa taji ka umalkia wa Mkoa juzi katika Hoteli ya Msuka kwa kuwashinda washsiriki wenzake 10 , akiwa katika picha ya pamoja na washindi wenzake wa nafasi ya pili , Mariam Didi (21) ( kushoto) na Shekha Washokera ( 23) mshindi wa nafasi ya tatu na kupata tiketi yakushiriki Miss Kanda ya Mashariki mwaka 2009. Picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 13, 2009

    duh. bro michu naona umeamua kuwa biased!!! au aliyekutumia picha hajakutumia difelenti varayatiiz??? naona umeng'aa na surazzz tu. wapi pajazzzz sasa??
    haya bwana leo eiza nile tu huu ugali bila mboga au nilale njaa!!
    mdau wa pajazzzz

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 13, 2009

    ...UKIMWI hauishi kabisaaaa...

    annon #1...ana msongo wa akili

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2009

    Cmchezo kwa sura mtoto katulia, Bomba kishenzi, michu tuletee picha zaidi kwa chini ili tufaidi zaidi.Mwinyi Mpeku

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2009

    sijaona competition yeyote kati ya huyo miss n the runner ups.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2009

    Duh? huyo first runner mbona hana mpya? yaani kweli hapakuwepo na wa kumpiku? Asa hiyo ndo lip-stick gani? Kweli tuko serious au ni ili mradi "YAMEFANYIKA"

    GJK

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 17, 2009

    UKIMWI UTAISHA VIPI WAKATI MNAUENEZA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...