kumbi zinazidi kuongezeka jijini dar, safari hii ni huu wa mlimani city conference centre ambao una uwezo wa kubeba watu zaidi ya 1,000, full kiyoyozi na parking bwelele. tayari umeshaanza kutupiwa jicho kama ukumbi mbadala wa diamond jubilee



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2009

    kaka michu, ni kweli huu ukumbi ni mzuri sana, ninaomba kama unaweza ukatusaidia kujua price yake,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...