nanihii akiondoka sauzi huku akishukuru kumaliza vekesheni salama
hapa ni moloko club kitongoji cha Rosebank ambapo kwa dar unaweza kupafananisha kama sweet eazy kwa jinsi wadau wa mjini wanavyojaa kujirusha. nanihii alitia timu hapo na muziki wake ni mchanganyiko wa old skul na new skul dege la 1Time likibeba abiria kutoka johannesburg kwenda zenji. hapo mmatumbi alikuwa nanihii tu. kumbe si yeye peke yake anaezengea usafiri wa bei poa
msosi ndani ya dege la 1Time sio dezo. hapa hii staftahi ni randi 50 ama dola 6. usijekusema nimekuchuuza kwa kuagiza msosi halafu na kudaiwa.
habari kamili ya shirika hili la usafiri wa ndege wa bei poa nenda
1time.co.za




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2009

    Michu ustaaz wangu mbona naona kitu kama Bacon a.k.a Ham hapo,unapeleka pwani kitimoto??swine flu haijesha!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2009

    Kwa sauz ampandii kwenye shtobe,AO mlikua wengi wakaona kishtobe kidogo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2009

    fuck off!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 18, 2009

    sa nanii ndio nini kutupigia picha ya chakula ushakula????

    ReplyDelete
  5. kaka michu pole bro naona 1time sio mchezo je? hawana office dar na kama ipo tufahamishane make $840.00 ya s.a.a ni kumbwa ukingalia na uchumi ulivyo na bajet ya kujihami ilivyo. kaka kila la kheri .

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2009

    Moloko Club iko Rosebank na siyo Sandton.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2009

    WADAU ANEJUA USAFIRI WA KUUNGAUNGA WA KWENDA ULAYA ASEME KWA MAANA MASHIRIKA YA NDENGE AMBAYO HUENDA YAKAWA YA BEI NDOGO JAPO HAYAANZII SAFARI ZAKE HAPA BONGO

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2009

    Jamani nina swali huyu michuzi hana mke?? naona yeye kila kukicha ni kupicha picha na warembo tu mara leo yuko huku mara kule, naje mbona hasafiri na mke wake hata siku moja???? jamani mbona namuona ni selfish, na je ana watoto?? hata siku moja sijaona picha ya familia yake wakienda vacation, aisee mimi namuona mnyanyasaji fulani hivi, hebu tuwekee picha ya familia yako japo moja basi tumechoka na picha za wakina flaviana, Nansy, na wengineo!!

    mdau USA

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 18, 2009

    Dar UFISADI umezidi na ujinga ujinga kutaka kitu kidogo,Kuanzia Airport na Bandari ovyo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2009

    Michuzi namuona Bebe (Hinzir) umewekewa na vipande vya mkate any way msafiri kafiri

    ReplyDelete
  11. Mdanganyika MlipakodiJune 18, 2009

    Michuzi mimi sio kuwa natuma maoni isipokuwa nauliza swali kwahio naomba jibu kutoka kwako. Nakuomba utueleze sisi wasomaji wako blog yako kuwa safari hizi unazosafiri kila mara ni nani analipia na huwa unakuwa unasafiri kwa madhumini gani.Naomba uwe muwazi na mkweli kwasababu inakuwa kama wanajamii wote niwajinga unapojifanya uko vekesheni wakati sio kweli.Nafikiri muda wa masihara haupo tena.Kama ni kodi za wananchi zinakusafirisha tufahamishe na kama ndio hivyo tungependa kujua matunda ya kazi inayolipwa kwa kodi za wananchi.Hilo neno vcekesheni linakera mno ukizingatia kuwa sio kweli kuwa uko vekesheni. Natumai utanijobu kwa undani zaidi kwa faida ya wana jamiii wote.

    ReplyDelete
  12. Aisei, hiyo ni ham au roast beef?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 19, 2009

    kaka michuzi huyu mlipa kodi mbona amekukania hivi? hiyo kodi analipa ama basi ndio anaiga wengine kujiita mlipa kodi? hebu post risiti za VAT halafu ndio uingilie maisha ya watu wenye nafasi zao kama michuzi. Wivu wa watanzania wengine bwana unakera na ndio maana hatuendelei kazi kusengenyana kuulizana umevaa nini, unakula nini, mkeo kabila gani, ana elimu gani ....ujinga mtupu

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 19, 2009

    kweli kishtobeni sauzi vipi?

    afu kuna annon apo wamsahihisha nani una akili wewe??kwani si kasema ipo rosebank?au una makengeza?

    swine nini weweee?

    kodi ya mshahara wa m-Tz ni jubu tosha

    ila michu hahahahahaaaaaaaa

    aya karibu bongo sijui "vekeshen" thiz time itakuwa wapi??

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 19, 2009

    mikate miiiingi...mwisho upate constipation

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 19, 2009

    heheh mambo ya kiti cha moto hayo ham + bacon=
    masaa matatu unakomaa tu bila kula sio mbaya na kwa R50 ni bei powa

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 19, 2009

    jamani michuzi kaoa na ana watoto wakubwa ila jamani anapenda privacy,pia izi safari ni kikazi vipicha anavyopiga ni baada ya kazi,muacheni ataacha kutufurahisha bure,hicho chakula hapo ndio kuna ham lakini hajala kala cheese si muangalie vizuri.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 19, 2009

    ndani ya ndege mnauziwa chakula???
    jaman nauli ina kazi gani

    ok mtu mweusi ulikua mwenyewe??

    asante,mzururaji

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 19, 2009

    Ni kwamba menu ni moja tu ya breakfast, so, unapewa hiyo, usipotaka kula ham unaacha, thats why hapo ktk picha unaona kaiacha, hajaila..ila tatizo kama mtu hajui anaweza kuila, ila si wahenga walisema msafiri kafiriiiiiiii?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...