



habari kamili ya shirika hili la usafiri wa ndege wa bei poa nenda
1time.co.za
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu ustaaz wangu mbona naona kitu kama Bacon a.k.a Ham hapo,unapeleka pwani kitimoto??swine flu haijesha!!
ReplyDeleteKwa sauz ampandii kwenye shtobe,AO mlikua wengi wakaona kishtobe kidogo?
ReplyDeletefuck off!!!!
ReplyDeletesa nanii ndio nini kutupigia picha ya chakula ushakula????
ReplyDeletekaka michu pole bro naona 1time sio mchezo je? hawana office dar na kama ipo tufahamishane make $840.00 ya s.a.a ni kumbwa ukingalia na uchumi ulivyo na bajet ya kujihami ilivyo. kaka kila la kheri .
ReplyDeleteMoloko Club iko Rosebank na siyo Sandton.
ReplyDeleteWADAU ANEJUA USAFIRI WA KUUNGAUNGA WA KWENDA ULAYA ASEME KWA MAANA MASHIRIKA YA NDENGE AMBAYO HUENDA YAKAWA YA BEI NDOGO JAPO HAYAANZII SAFARI ZAKE HAPA BONGO
ReplyDeleteJamani nina swali huyu michuzi hana mke?? naona yeye kila kukicha ni kupicha picha na warembo tu mara leo yuko huku mara kule, naje mbona hasafiri na mke wake hata siku moja???? jamani mbona namuona ni selfish, na je ana watoto?? hata siku moja sijaona picha ya familia yake wakienda vacation, aisee mimi namuona mnyanyasaji fulani hivi, hebu tuwekee picha ya familia yako japo moja basi tumechoka na picha za wakina flaviana, Nansy, na wengineo!!
ReplyDeletemdau USA
Dar UFISADI umezidi na ujinga ujinga kutaka kitu kidogo,Kuanzia Airport na Bandari ovyo.
ReplyDeleteMichuzi namuona Bebe (Hinzir) umewekewa na vipande vya mkate any way msafiri kafiri
ReplyDeleteMichuzi mimi sio kuwa natuma maoni isipokuwa nauliza swali kwahio naomba jibu kutoka kwako. Nakuomba utueleze sisi wasomaji wako blog yako kuwa safari hizi unazosafiri kila mara ni nani analipia na huwa unakuwa unasafiri kwa madhumini gani.Naomba uwe muwazi na mkweli kwasababu inakuwa kama wanajamii wote niwajinga unapojifanya uko vekesheni wakati sio kweli.Nafikiri muda wa masihara haupo tena.Kama ni kodi za wananchi zinakusafirisha tufahamishe na kama ndio hivyo tungependa kujua matunda ya kazi inayolipwa kwa kodi za wananchi.Hilo neno vcekesheni linakera mno ukizingatia kuwa sio kweli kuwa uko vekesheni. Natumai utanijobu kwa undani zaidi kwa faida ya wana jamiii wote.
ReplyDeleteAisei, hiyo ni ham au roast beef?
ReplyDeletekaka michuzi huyu mlipa kodi mbona amekukania hivi? hiyo kodi analipa ama basi ndio anaiga wengine kujiita mlipa kodi? hebu post risiti za VAT halafu ndio uingilie maisha ya watu wenye nafasi zao kama michuzi. Wivu wa watanzania wengine bwana unakera na ndio maana hatuendelei kazi kusengenyana kuulizana umevaa nini, unakula nini, mkeo kabila gani, ana elimu gani ....ujinga mtupu
ReplyDeletekweli kishtobeni sauzi vipi?
ReplyDeleteafu kuna annon apo wamsahihisha nani una akili wewe??kwani si kasema ipo rosebank?au una makengeza?
swine nini weweee?
kodi ya mshahara wa m-Tz ni jubu tosha
ila michu hahahahahaaaaaaaa
aya karibu bongo sijui "vekeshen" thiz time itakuwa wapi??
mikate miiiingi...mwisho upate constipation
ReplyDeleteheheh mambo ya kiti cha moto hayo ham + bacon=
ReplyDeletemasaa matatu unakomaa tu bila kula sio mbaya na kwa R50 ni bei powa
jamani michuzi kaoa na ana watoto wakubwa ila jamani anapenda privacy,pia izi safari ni kikazi vipicha anavyopiga ni baada ya kazi,muacheni ataacha kutufurahisha bure,hicho chakula hapo ndio kuna ham lakini hajala kala cheese si muangalie vizuri.
ReplyDeletendani ya ndege mnauziwa chakula???
ReplyDeletejaman nauli ina kazi gani
ok mtu mweusi ulikua mwenyewe??
asante,mzururaji
Ni kwamba menu ni moja tu ya breakfast, so, unapewa hiyo, usipotaka kula ham unaacha, thats why hapo ktk picha unaona kaiacha, hajaila..ila tatizo kama mtu hajui anaweza kuila, ila si wahenga walisema msafiri kafiriiiiiiii?
ReplyDelete