Meneja udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Emillian Rwejuna wa pili kutoka kushoto akiongea na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Maelezo,juu ya kuwatangaza wadhaamini wenza ambao ni KCB Benki,Clouds FM,Pepsi na Hauwei katika mbio za Vodacom Dar marathoni,(kushoto)Meneja uhasibu wa Hauwei,(kulia)Meneja Masoko wa KCB BenkYusuph Sheyagwa,(katikati)Meneja mauzo wa vinywaji vya Baridi Pepsi Rashid Chenya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ..ebwana jina la huyo MCHINA vp??

    Usimbague..Andika tu haya kwa

    Kiswahili kama ni gumu kwa Kichina.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2009

    Haya Joni Mashaka mchina wako huyo hapo pambana naye. ni muuza kanyaboya Kariakoo, vita nivianzeeeeeeeeeee.
    Napenda kweli globu ya jamii kwani unaweza kuanzisha vita usijulikane wengine ndo wakabebezwa lawama. mimi nakaa mkao wa kula vita na vianze
    Waosha vinywa mpo???????????????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2009

    Bro Michu Ni HUAWEI na sio HAUWEI ha ha ha...... ijumaa hiiii

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2009

    Huyo Mchina anaitwa Jack Wang ni Account Manager wa Huawei Technologies Co ltd, The number Four Telecom Manufacturer in the World, na katika Tanzania ndio wamejenga TTCL Mobile, Zantel na Hits(Excellentcom)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...