Wasanii wa kundi la Wise Crew linalopatikana katika chuo kikuu chaTumaini University ya A-taun wako katika hatua za mwisho za kukamilisha albumitakayoitwa IMEBAKI STORY.siku ya jumamosi watarekodi wimbo wa kumiambao ndio utakamilisha album wimbo huu uitwao wasichana wa vyuo vikuuwatamshilikisha mkongwe kutoka kanda ya ziwa Jitamani na kazi hiyoitafanyika ndani ya studio ya Noizmaker Arachuga chini ya mtayarishaji DX


wa kwanza kushoto anataka kufanana na young WARREN G
ReplyDelete