Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2009

    Ndugu Michu: tafadhali tuambie ziliko hizo Benjamin Mkapa Towers. Sijafika Dar nina miaka mingi kidogo. Au mdau mwingine anaeweza kutuelezea nitafurahi. Naona Dar inameremeta. Lakini nyumbani ni nyumbani hata kukiwa....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2009

    jengo linatazamana na Posta mpya au mkabala na CRDB Azikiwe na ktk makutano ya Maktaba na Jamhuri. ni jengo refu na jipya lakini limejengwa kizamani sana


    mangi wa k'koo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2009

    Zipo Manzese kwa Mchinja Mbwa. Hapana Duuh, nisikuingize mjini bwana, zipo Posta Mpya, ukishuka kituo cha Posta Mpya, hizooo zinasaidia kunyosha shingo ukitaka kuangalia kileleni.
    Lakini mimi nauliza, kuuliza sio ujinga, kwanini zimeitwa hivyo, ina maana mwenye jina ndiye anayezimiliki, au zimepewa kama vile barabara ya Nyerere, AU?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2009

    mithupu uwe unapiga na picha za wakati wa magharibi za maeneo ya manzese, temeke, chang'ombe tuone kulivyobadilika, sihani kama unazifahamu hizo sehemu lakini. mdau wa nanihiii

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2009

    don't be silly guys
    those are NY twin towers before 9/11.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 21, 2009

    dont be silly guys,
    those are NY twin towers before 9/11

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2009

    fika ujionee yaliyomo katika jengo hilo la kisasa, kuna boutique za nguvu ground floor,na ghorofa ya kwanza kwa waswahili wenzangu kwa wazungu mezzanine floor, bank na kadha wa kadha.Kweli Dar yapendeza.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 23, 2009

    wooow those building looking good i was in Dar 5yrs ago but i did not see them!! or are those new buildings?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...