


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yap tpate waandishi wazuri wa habari kamili zenye usomi
ReplyDeleteHii ni shule nzuri kwa wanahabari na tunafurahi mazao ya Chuo hicho kama Gerson Msigwa wa TBC, Elisha Elia, Ben Mwaipaja, Rahel Mhando, Hope Dagaa na wengine wengi wanaofanya vizuri katika fani. Hongera sana, Kaka Rioba kaza buti kazi ndio kwanza inaanza
ReplyDeleteanza kwenda gym kaka michuzi, upunguze kichwa na pua hiyo! hahahah
ReplyDeleteHONGERENI SANA. MIMI KAMA MDAU NILIYESOMAGA CHUONI HAPO MWAKA 2006 NAARIJIKA KUONA MAENDELEO YA CHUO CHANGU HATA KUIKIA HADHI HII YA LEO. PONGEZI SANA KWA KILA MWALIMU NA MTU MWINGINE YEYOYE ALIYECHANGIA CHUO HIKI HADI KUIKIA HATUA HII LEO.
ReplyDeletenimeenda kwenye radio yao online nikakuta hola. nilifikiri ntawapata live kumbe? kama kuna aliyeweza nipatie link yao niwasikie
ReplyDeleteHayo ni mafanikia na kazi nzuri ya MAMA Possi, yeye ndiye aliiyekuwa mkuuu toka ilipo TSJ na sasa imekuwa na kuitwa School of journalism hongera sana mama possi, tunahitaji watu kama nyie, nilisoma na mtotowake anaitwa Ally, sijui sasa yupo wapi maana nae alikua na akili nyingi sana na handsome sana
ReplyDeleteMama migiro is soo simple
ReplyDeleteI like her.japo ni makamu mkuu wa dUNIA lakini hajalewa madaraka na mafao na kuasahau majikumu na kujipodoa.
Hongera mama my next president