Home
Unlabelled
bwa harusi akielekea kuoa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli hii kazi kwelikweli..lakini ndo maisha..
ReplyDeleteKaka Michu huyu mdogo wake na yule wa mwaka juzi nini, mbona wamefanana sana yaani kwa wanamahesabu wanasema one-to -one
ReplyDeleteJe mna uhakika kweli wanaenda harusi kuoa, au mtu akivaa hivyo ni mkao wa kwenda kuoa! Na kama kweli wanaenda kuoa ni heri kwani hiyo itakuwa ndoa ya baraka, sio ile ya kuwachangisha watu kwa nguvu, kadi vikao, na vikaoni unalazimishwa uahidi kiwango..hamjui hali ya watu, wengine kula kwao kwa shida, bado mnataka mumkamue kwa ajili ya sherehe ya siku moja!
ReplyDeleteTena siku hizi kadi ina kiwango, kama hujachanga kufikia hicho kiwango huruhusiwi kuingia ukumbini, wewe umetoa sadaka.
Jamani harusi siku hizi, mmmh, sio harusi tena ni mwanaharusi!
angetembea kwa miguu angefika haraka
ReplyDeleteImetulia saaaaaana. Sifieni basi, mbona watu wakipanda ngamia mnadai eti ni ubunifu ila wengine wakipanda baiskeli mnadai eti ndo maisha! Bongo bana!
ReplyDeletelol kama kuna muinuka itabidi bwana harusi ashuke au inakuwaje na kama bibi harusi kibonge tena itakuwa noma tupu
ReplyDeleteEeeee bwanaee!!!..iyo safi sana. utumii garama kubwa sana nimeipenda iyo. namtakia maisha mema.
ReplyDeleteuuuuuuuuuuuuwiiii ! hizi baiskeli zinapatikana wapi jamani na mie nikodishe japo siku moja nipelekwe kazini, maana kwenye ndoa nshapita
ReplyDeleteUnajua kwanini watu hawamsifii, kwasababu hajavaa suti na tai
ReplyDeletebwana harusi kafanana na Matonya (muimbaji bongo flava)un
ReplyDeleteangetembea kwa mguu angefika haraka? nani kakwambia ana haraka? au misururu ya magari yenye harusi inatembea haraka.? oosheni vinywa yangu machache na macho, mungu hachoki kuumba.
ReplyDeleteAnony wa 03.46 hapo umelonga mwanangu! ni kweli hawataki kumsifia kwa kuwa hajavaa suti! juzi yule brazameni wa Uwoya, kasuka, kavaa hereni watu wanasifia kwa kuwa tu kapanda ngamia na ana hela! Acheni hizo, jamaa katoa ubunifu wake, na nasema ni ubunifu baaaaaab kubwa!
ReplyDeleteNdoa njema yenye baraka na mafanikio kaka!
bwana harusi kafanana na Matonya (muimbaji bongo flava)un
ReplyDeleteDuniani wawili wawili. Muendesha hiyo baiskeli(tri-cycle) anafanana na Floyd Mayweather Sr.Wapenzi wa Masumbwi mnajua ninayemuongelea.Wengine nyamazeni.
ReplyDeletemimi simshangai bwana harusi kwa kutumia huu usafiri inaweza kuwa ni uamuzi tu. ila kinacho nisikitisha ni mazingira nayo yaona hapo ktk picha, yaani majengo ni slam,watoto wanaoshuhudia hilo tukio wanaonekana hali zao sio nzuri kabisa!! jamani we have to do something, hii inakatisha tamaa kabisa na kuhuzunisha ktk karne hii.tanzania ni tajiri na inawezekana kabisa kubadili hali ya wananchi kama kutakuwepo nia ya kufanya hivyo mioyoni mwa watanzania,na uongozi wenye dhamira thabiti kupanga na kutekeleza malengo na siyo kuyaweka ktk makabrasha na kuyasahau baada ya kuumega mkate wa kikao! na hii ni taswira ya mtanzania wa kipato cha kati, JE TASWIRA YA WAKIPATO CHA CHINI IKOJE? think about that!!!
ReplyDeletemwenda baiskeli kafanana na besst yangu mmoja anaitwa kitunda
ReplyDeleteMgigiri umenena huyu mjomba kweli kafanana na Floyd "pretty boy" Mayweather jr.
ReplyDeletejali hali yako usiige
ReplyDeleteMimi namjua huyo jamaa tunakaa nae hapa mwananyamala,ni mbunifu sana
ReplyDeleteHuyo mama hapo nyuma ndio anafanya nini au anampiga stata bwa harusi ? job ile mbaya
ReplyDelete