Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2009

    kweli hii kazi kwelikweli..lakini ndo maisha..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2009

    Kaka Michu huyu mdogo wake na yule wa mwaka juzi nini, mbona wamefanana sana yaani kwa wanamahesabu wanasema one-to -one

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    Je mna uhakika kweli wanaenda harusi kuoa, au mtu akivaa hivyo ni mkao wa kwenda kuoa! Na kama kweli wanaenda kuoa ni heri kwani hiyo itakuwa ndoa ya baraka, sio ile ya kuwachangisha watu kwa nguvu, kadi vikao, na vikaoni unalazimishwa uahidi kiwango..hamjui hali ya watu, wengine kula kwao kwa shida, bado mnataka mumkamue kwa ajili ya sherehe ya siku moja!
    Tena siku hizi kadi ina kiwango, kama hujachanga kufikia hicho kiwango huruhusiwi kuingia ukumbini, wewe umetoa sadaka.
    Jamani harusi siku hizi, mmmh, sio harusi tena ni mwanaharusi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2009

    angetembea kwa miguu angefika haraka

    ReplyDelete
  5. Imetulia saaaaaana. Sifieni basi, mbona watu wakipanda ngamia mnadai eti ni ubunifu ila wengine wakipanda baiskeli mnadai eti ndo maisha! Bongo bana!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2009

    lol kama kuna muinuka itabidi bwana harusi ashuke au inakuwaje na kama bibi harusi kibonge tena itakuwa noma tupu

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2009

    Eeeee bwanaee!!!..iyo safi sana. utumii garama kubwa sana nimeipenda iyo. namtakia maisha mema.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2009

    uuuuuuuuuuuuwiiii ! hizi baiskeli zinapatikana wapi jamani na mie nikodishe japo siku moja nipelekwe kazini, maana kwenye ndoa nshapita

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2009

    Unajua kwanini watu hawamsifii, kwasababu hajavaa suti na tai

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2009

    bwana harusi kafanana na Matonya (muimbaji bongo flava)un

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2009

    angetembea kwa mguu angefika haraka? nani kakwambia ana haraka? au misururu ya magari yenye harusi inatembea haraka.? oosheni vinywa yangu machache na macho, mungu hachoki kuumba.

    ReplyDelete
  12. Anony wa 03.46 hapo umelonga mwanangu! ni kweli hawataki kumsifia kwa kuwa hajavaa suti! juzi yule brazameni wa Uwoya, kasuka, kavaa hereni watu wanasifia kwa kuwa tu kapanda ngamia na ana hela! Acheni hizo, jamaa katoa ubunifu wake, na nasema ni ubunifu baaaaaab kubwa!
    Ndoa njema yenye baraka na mafanikio kaka!

    ReplyDelete
  13. bwana harusi kafanana na Matonya (muimbaji bongo flava)un

    ReplyDelete
  14. Duniani wawili wawili. Muendesha hiyo baiskeli(tri-cycle) anafanana na Floyd Mayweather Sr.Wapenzi wa Masumbwi mnajua ninayemuongelea.Wengine nyamazeni.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 20, 2009

    mimi simshangai bwana harusi kwa kutumia huu usafiri inaweza kuwa ni uamuzi tu. ila kinacho nisikitisha ni mazingira nayo yaona hapo ktk picha, yaani majengo ni slam,watoto wanaoshuhudia hilo tukio wanaonekana hali zao sio nzuri kabisa!! jamani we have to do something, hii inakatisha tamaa kabisa na kuhuzunisha ktk karne hii.tanzania ni tajiri na inawezekana kabisa kubadili hali ya wananchi kama kutakuwepo nia ya kufanya hivyo mioyoni mwa watanzania,na uongozi wenye dhamira thabiti kupanga na kutekeleza malengo na siyo kuyaweka ktk makabrasha na kuyasahau baada ya kuumega mkate wa kikao! na hii ni taswira ya mtanzania wa kipato cha kati, JE TASWIRA YA WAKIPATO CHA CHINI IKOJE? think about that!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 20, 2009

    mwenda baiskeli kafanana na besst yangu mmoja anaitwa kitunda

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 20, 2009

    Mgigiri umenena huyu mjomba kweli kafanana na Floyd "pretty boy" Mayweather jr.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 20, 2009

    jali hali yako usiige

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 21, 2009

    Mimi namjua huyo jamaa tunakaa nae hapa mwananyamala,ni mbunifu sana

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 21, 2009

    Huyo mama hapo nyuma ndio anafanya nini au anampiga stata bwa harusi ? job ile mbaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...