Home
Unlabelled
BWAWA LA MAINI WAINGIA MITAMBONI RASMI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dah Jifueni wazee, ila mi nahisi mnajisumbua tu mana Ngoma iko Stanford Darajani, kule ndio kila kitu Bw. Hata Special One (Josee) analijua hilo mana ameshaanza kuchonga juu ya mwalimu wetu.
ReplyDeleteChelsea timu bwana wengine watashindikiza tu 2009/10.
Nawahakikishia mwaka huu tutachukua vikombe vitatu vikubwa ikiwemo cha Baclays na UEFA.
kila la heri wanandugu.
Mwanazanzibaar.
wewe michuzi msimu uliopita mbona ulisajiri lakini ukaambulia patupu
ReplyDeletena bora sisi tuliobeba magalasa lakini tuliambulia sasa tuone kama msimu huu tena ujalamba mchanga....na mimi nakuambiaaa poleeeeee eeh
MDAU WANANIHII,I MEAN LIVERPOOLKAMAUNAVYOITA WEWE BWAWALA MAINI WACHA UNAZI, MARA NYINGI NASHINDWA KUPITIA HABARZAKOZA MICHEZO KUTOKANA NA UNAZI ULIOKUJAA BILAKUANGALIA HALI HALISI NA WAKATI HUSIKA, MARA NYINGI NILITARAJ UZUNGUMZIE HALI HALISI NA SIO UNAZI.
ReplyDeleteLIVERPOOL IKITOLEWA KWENYE MASHINDANO YEYOTE KWAKOMASHINDANOHAYO HUGEUKA KUA KOMBE LA MBUZI LAKINI IKISHINDA UNAJISAHAU KUPITA KIAS, KWASASA SUALA SI NANI KAMSAJILI KIKONGWEAU GARASA MANENO LIGI IKIANZA NA ZAIDI INAPOMALIZIKA PINDI ANAPOPATIKANA BINGWA,TENA MTU MAKINI KAMA WEWE UNATAKIWA UKAEKIMYA KWA KUZINGATIA TOKA LIGI YA KULE KWEUPE'UK' ILIPOBADILISHWA JINA NA KUA LIGI KUU BADO HAO UNAOWAITA BWAWA LA MAINI HAWAJAWAHI KUCHUKUA UBINGWA ZAIDI YA KUSIKIA HARUFU KUTOKA KWA WASHIKA BUNDUKI WA LONDON NA MASHETANI WEKUNDU WA 'OT' NA HAO CHELSEA,POLEKWA HILO
SASA HII BLOG YAKOYA JAMII ISIWE KICHEKESHO NA HILO BWAWA LA MAINI AMBAYO JAMAA WANAKUJA KUJIPIMIA NA KWENDA KUTENGENEZA ROAST
NARUDIA TENA POLE KWA HILO
Hivi Carragher amezaliwa mwaka gani???Bado ni kijana???Au ni shikamoo jazi???
ReplyDeleteCarragher ni kijana amezaliwa Feb 28 1988.Lol throwing stones at a glass house.You live in one .Shikamoo jazi itakutia ugonjwa wa moyo.Kelele kila mwamzo wa msimu, msimu ukiisha kila mwezi wa tano mnajipa moyo next year.Imekuwa ya manyani sasa.Wacheni kelele na kujitapa chezeni mpira.Bwawa la nyongo.Pia wacheni obssession na mabingwa.
ReplyDeletemkianza tisi mapema au mkichelewa, mkinunua wachezaji wepya hata wangapi stori ni ile ile ikifika mwisho wa msimu hamlipati kombe la premier league ha ha ha ha ha ha!!!
ReplyDeleteMSIMU UJAO MAN U WAPENDE WASIPENDE WATASHIKA NAFASI YA NNE MAANA WAMEISHAFULIA! MZEE FERGIE AMEISHAZEEKA..KACHEMSHA ILE MBAYA.. USAJILI SIKU HIZI UMEMSHINDA KABIIIISA!MWAKA JANA ALIMSAJILI BERBATOV KWA 32M HADI LEO WAPENZI WA MAN U WANAMCHUKIA ILE MBAYA KWANI KASABABISHA HADI TEVEZ KAONDOKA!! SIR ALEX ETI KANUNUA KIZEE OWEN..NA WINGA OBERTEN..WAJAMAN LIGI MBONA INACHELEWA TUJIONEE VIHOJA...RAHAAA UTAMU!!
ReplyDeleteshikamoo jazi mnayo nyinyi au hamujioni?, bwawa la majonzi kila mwaka, angalieni darajani wanavyotisha mwaka huu na bado, huyo glen johnson katimuliwa darajani kama mbwa koko, mmepotea stepu kumnunua eti sababu kacheza vizuri dhidi ya andora na kazakstan, ngoja akutane na akina maluda huyo ndio mtajua kama garasa.
ReplyDeleteUMESIKIA KUNAWACHEZAJI SITA WA PREMIER LEAGUE WALITIA DEMU MMOJA ANA NGOMA...SASA HOFU IMETANDA JUU YA AFYA ZAO,,WAMEPIMA NA WANASUBIRI MAJIBU KWA WASIWASI KAMA KONDA WA DALADALA KAONA TRAFIKI...HALAFU NA LILE SHOGA LA RONALDO LIMEKUFA KWA NGOMA BRAZIL LAST WEEK...E BWANA NGOMA INACHANGANYA JAMANI....
ReplyDeletemichuzi anzisha kablogu kengine kanakohusu liverpresha pekee, hii unaichafua sawa? wale mnaoomba man kufulia ni sawa na kuku ok??
ReplyDelete