atraco ya rwanda usiku wa kuamkia leo wametwaa ubingwa wa chalenji baada ya kuishinda el merreikh ya sudan bao 1-0 kwenye fainali za chalenji mwaka 2009 zilizofanyika kharthoum, sudan, ambapo bongo iliwakilishwa na prisons ambayo ilitoka mapema. bao la ushindi lilifungwa na hamisi kitagenda mnamo dakika ya 15

safi sana abhanyagwanda. mulakoze chane, kwa mlichokifanya. ni muhimu sana kuandika historia, na hiyo inatia moyo kuwa sio APR tu, hata nyie mnaweza. Prison walitakiwa pia kujifunza kutoka kwenu, kuwa woga hausaidii, na sio simba tu na yanga ndo wanamajina tanzania.
ReplyDeleteBIG UP.
..japo nao wameonja machungu walosababishia yanga hapa dar es salaam, enzi za akina aboubakr 'sureboy' salum..
ReplyDeleteongera sana... kuchukua ubingwa ugenini ni kazi kubwa hasa hasa kwa nchi kama sudani katika ukanda wetu huu.
ReplyDelete..kuna picha zimetundikwa kuleee nyuma,sio yule jamaa anatafutwa na OKAMPO wa ICC??
ReplyDeleteyan sudani wanabeba kombe sie tupo tuuuuu!!!