



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAKIKA KIFO HAKIZOELEKI HATA SIKU 1, NAMKUMBUKA SANA MWL. WANGU PROF. OTHMAN, ALIKUWA NI MTU WA AINA YAKE KWA KWELI, HAKIKA ILIKUWA NI SIKU NZURI YA KUKUMBUKWA KWAKE, I WISH NAMI NINGEKUWEPO HAPO,M/MUNGU NAJUA ZAIDI, NA KWA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA!!
ReplyDeleteTo be honest baada ya kututoka Chachage Seith Chachage niliwaambia rafiki zangu kwamba sasa masikio yetu ni kwa Prof Haroub Othman; kwa bahati nzuri mungu amemuita mapema na sasa sijui yupi ni muhim katika UDSM maana sijaona watu kama hao wawili ambao kitu wanachoongea wanakua na uhakika nacho kwa kua wanakua wamekifanyia utafiti; RIP Othman the good die young
ReplyDeletehesima yako mkuu, nimefurahi sana kuona Tanzania tuna umoja na wameweza kufanya jambo km hilo kummkumbuka Prof. Haroub. Ningepeta kama ungeweka hotuba (speech) aliyotoa Tahir pale UDSM, tupate kusoma na kujau nini aliongelea na nina hakika mkondo hufwata maji na wazungu wansema "like father like son" bs inawezekana Tahir akawa anweza kufwata nyayo za baba yake akisaidiwa na mama yake amabye ni Professor pia pale UDSM. balzoi jitahidi utuwekee hiyo speech maana tupo nje bs japo tujue nini kiliendelea pale. Shukrani
ReplyDeleteKwakweli namkumbuka sana Prof. ktk seminar yangu akiwa kama leader. Alikua kiboko ktk DS lecture za Human Rights at the Hill. Ila napata kichefu chefu kwa waandishi wanaolazimisha facts. Hivi mithupu kwanini unataka kuonekana sana kwenye photos ktk kila jambo? eti Tahir akiwa na marafiki wake wa Karibu(mithupu ndani,kapiga konoz na ze fulana lake). Be wise sometimes ktk vitu serious kama hivyo. Mtu mzima wewe. Ni kweli wewe ni rafiki wa karibu wa Tahir? toka wapi na tangu lini? Usiwe kama waandishi uchwara bwana. Abide by journalistic rules and ethics. Andika Habari,usitake wewe uwe habari kila kukicha kwa kuuza sura! May be you should do more schooling in Jounarnalism ndio utaelewa what I mean.
ReplyDeleteHuyo wa mbele hapo najua anaitwa Katapa(Prof/Dr). Aliwahi kunifundisha pia. Big up dons!
ReplyDeleteGood to see you Tahir doing great job on this special day.
ReplyDeleteBy the way where is our mom Prof. Saida? Michuzi hukumpiga picha mama why? tunampendaga yule mama jamani, she is very intelligent.
Kuna watu huwa wanakolopoka bila kufikilia yakundika,,hivi anonymous wa juli 19,01:30 mbona unamshambulia sana Mithupu unahudhunishwa na kuona picha yake?au! tafadhali mwache aendeleze kazi yake,,yeye huwa anataka kuonyesha watu wapya ndani ya hii blog mithupu au michuzi ni yupi,au anaonyesha kuwa ndani yahayo mazingila nayeye alikuwepo hakumtuma mtu mwingine kwakupiga picha mbalimbali,Tena nakusihi usiwe na kichefuchefu kwa kuona mtu ambae hukumuumba,au hujui maana ya hilo neno, wewe bwana kama umepinda kimawazo!au kihali sio uje kumshambulia Bw.Michuzi.Hongela sana mithupu kwa habali mbalimbali unazotupasha.Uzidi kuwa na afya nzuri milele.mdau Rotterdam
ReplyDeleteProf.Haroub alikuwa mtu wa aina yake,alikuwa mtu wa watu,mtetezi wao wanyonge kwa kweli ni pengo kubwa sana sana.Na jamaa hapo juu aliulizia kuhusu prof.saida nigependa kumjulisha kuwa kulingana na mila na sheria ya dini ya kiislamu Prof. yuko katika kipindi cha maombolezi (EDA),Kipindi hicho ni miezi 4 na siku 10.I am really missing you uncle! kweli kizuri hakidumu.
ReplyDeleteNapenda kumhakikishia huyo aliye hoji urafiki wa Mkuu wa wilaya ya nanihiii na Tahir Othman, ukweli ni kwamba hawa ni marafiki tena ni marafiki wa muda mrefu tu. Hii haikutokea tu kwa sababu ya kifo cha Prof na kwa kusibitisha hilo naomba mkuu wa wilaya ya nanihii mkumbushe kwa kumsibitishia hilo kwa kupost tena kwa mara ya pili ile picha ya Tahir, Mkuu wa wilaya ya Nanihii na Amin (mtoto wa kwanza wa Tahir) iliyopigwa mwaka 2006 na sita huku Amin akiwa kwenye Kofia ya bendera ya England na Mkuu wa wilaya ya nanihii akiwa na vile vitu vya Brazil, sasa sijui hiyo miaka mitatu iliyopita ulikuwa unajigeza wewe ndio habari au. Anyway, pengine mnajuana kwahiyo langu ni hilo ......
ReplyDelete