Home
Unlabelled
chibiriti ndani ya nyumba!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu isije kuwa yule anaejiita mark mushi wa italy!!
ReplyDeletenaona ukiaa ulaya unabadilika ngozi na hata mavazi, kwa wale wanaokumbuka mnaona wenyewe chibiriti wa mwanzo sio huyu wa leo nahisi hata chumba chake ile TV ameibadilisha atakuwa na flat screen sasa.
ReplyDeleteJe bado yuko na kile Kibibi?
Tunamsubiria kwa hamu hiyo video yake Komredi huyu. Na pia anon wa kwanza, huyu hawezi kuwa ndie ajiitae mark mushi. Wala hawafananii akili hata kidogo. Mark mushi ni aidha kabahatisha kwenda huko au hayuko huko. Yeye kila siku ana rekodi nyimbo studio, tunazisubira sana kama kweli, na kila siku ana maconcert anapiga huko Italy.
ReplyDeletehapo kama ni bongo hilo ghorofa zuri kweli lkn nalionea huruma litakavyofubazwa na wafubazaji wazoefu na siajabu tayari uzuri wa out tu vyoo utakuta havi-flush vizuri hadi urudierudie kuflush na usubirie kwanza maji yajae ndio uflush tena vitasa vile vizuri utakuta mtu kan´goa kenda weka kwenye banda lake la uani kimara huko au bunju mradi aleteane ubishi na wenye hela yaani we acha tu bongo bwana raha mtu kavaa fulana kata mikono ndani ya daladala lililojaa m na joto lile anawatanulia abiria wenzake makwapa yake si uvundo huo kwapa halijui wembe bana
ReplyDeleteChibiriti kuwa makini tu na daladala usije ukabigwa pasi kama vekesheni ya mwaka jana. Ni ukumbusho tu. Asante
ReplyDelete