leo anko nanihii alikutana na mdau mkuu wa cesena, italy, baraka wa chibiriti, ambaye yuko katika vekesheni yake ya kila mwaka. safari hii kamletea nanihii zawadi ya picha iliyowekwa kwenye bonge la fremu. picha hiyo walipiga pamoja alipokuja vekesheni mwaka jana. globu ya jamii inamshukuru chibiriti kwa zawadi hiyo nzuri. video ya komredi chibiriti inaandaliwa ili upate kumuona na kumsikia laivu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2009

    Huyu isije kuwa yule anaejiita mark mushi wa italy!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2009

    naona ukiaa ulaya unabadilika ngozi na hata mavazi, kwa wale wanaokumbuka mnaona wenyewe chibiriti wa mwanzo sio huyu wa leo nahisi hata chumba chake ile TV ameibadilisha atakuwa na flat screen sasa.
    Je bado yuko na kile Kibibi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    Tunamsubiria kwa hamu hiyo video yake Komredi huyu. Na pia anon wa kwanza, huyu hawezi kuwa ndie ajiitae mark mushi. Wala hawafananii akili hata kidogo. Mark mushi ni aidha kabahatisha kwenda huko au hayuko huko. Yeye kila siku ana rekodi nyimbo studio, tunazisubira sana kama kweli, na kila siku ana maconcert anapiga huko Italy.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2009

    hapo kama ni bongo hilo ghorofa zuri kweli lkn nalionea huruma litakavyofubazwa na wafubazaji wazoefu na siajabu tayari uzuri wa out tu vyoo utakuta havi-flush vizuri hadi urudierudie kuflush na usubirie kwanza maji yajae ndio uflush tena vitasa vile vizuri utakuta mtu kan´goa kenda weka kwenye banda lake la uani kimara huko au bunju mradi aleteane ubishi na wenye hela yaani we acha tu bongo bwana raha mtu kavaa fulana kata mikono ndani ya daladala lililojaa m na joto lile anawatanulia abiria wenzake makwapa yake si uvundo huo kwapa halijui wembe bana

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2009

    Chibiriti kuwa makini tu na daladala usije ukabigwa pasi kama vekesheni ya mwaka jana. Ni ukumbusho tu. Asante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...