Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiongea na wanahabari mara baada ya kuzindua Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano jijini Dar
Home
Unlabelled
dk. asha-Rose migiro atoa somo kwa wanahabari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ningefurahi kumuona Mama, Dk. Asha-Rose Migiro kama Rais wa Tanzania. Ni mdiplomasia na mtaalam katika nafasi yake ambaye Tanzania imejaliwa kuwa naye. Bng.
ReplyDeleteDr. waambie hawa wanahabari waache UDINI. Glob ya Jamii Forum ni ya wadini watupu.
ReplyDeleteMama kiswahili kinapanda hadi raha, hakuna kuchanganya kiswanglish kama watz wakikaa ulaya hata wiki sita za short course wengine wanaongea kiswahili kwa shida, jamani tuige mfano wa mama yetu, kama ni kiswahili anaongea kiswahili, ikija lugha ya malkia nako mwake. HONGERA MWALIMU WANGU!
ReplyDelete