Naibu Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha-Rose Migiro akitoa hotuba katika uzinduzi rasmi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliani (School of Journalism and Mass Communication) mchana huu chuoni hapo Mikocheni Dar
Matangazo ya moja kwa moja na Mlimani TV ambapo pia Mlimani radio FM na The Hill Observer vimezinduliwa pamoja na chuo hicho
Mhadhiri Ayoub Riob (shoto) wakiwa na wakuu wa chuo hicho waliopita katika hafla hiyo. Kutoka kulia ni Mzee Samwillu Mwafisi, Gervas Moshiro na Profesa Mwajabu Possi

yap tpate waandishi wazuri wa habari kamili zenye usomi
ReplyDeleteHii ni shule nzuri kwa wanahabari na tunafurahi mazao ya Chuo hicho kama Gerson Msigwa wa TBC, Elisha Elia, Ben Mwaipaja, Rahel Mhando, Hope Dagaa na wengine wengi wanaofanya vizuri katika fani. Hongera sana, Kaka Rioba kaza buti kazi ndio kwanza inaanza
ReplyDeleteanza kwenda gym kaka michuzi, upunguze kichwa na pua hiyo! hahahah
ReplyDeleteHONGERENI SANA. MIMI KAMA MDAU NILIYESOMAGA CHUONI HAPO MWAKA 2006 NAARIJIKA KUONA MAENDELEO YA CHUO CHANGU HATA KUIKIA HADHI HII YA LEO. PONGEZI SANA KWA KILA MWALIMU NA MTU MWINGINE YEYOYE ALIYECHANGIA CHUO HIKI HADI KUIKIA HATUA HII LEO.
ReplyDeletenimeenda kwenye radio yao online nikakuta hola. nilifikiri ntawapata live kumbe? kama kuna aliyeweza nipatie link yao niwasikie
ReplyDeleteHayo ni mafanikia na kazi nzuri ya MAMA Possi, yeye ndiye aliiyekuwa mkuuu toka ilipo TSJ na sasa imekuwa na kuitwa School of journalism hongera sana mama possi, tunahitaji watu kama nyie, nilisoma na mtotowake anaitwa Ally, sijui sasa yupo wapi maana nae alikua na akili nyingi sana na handsome sana
ReplyDeleteMama migiro is soo simple
ReplyDeleteI like her.japo ni makamu mkuu wa dUNIA lakini hajalewa madaraka na mafao na kuasahau majikumu na kujipodoa.
Hongera mama my next president