Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2009

    ndio mkome..ilimradi UJUMBE si UNAFIKA???
    kwani haya mapicha ya KUTENGENEZA na makatuni mnayochora wewe michuzi na huyo mpuuzi mwenzio wa 8020 si ilimradi ujumbe ufike????

    ReplyDelete
  2. NautiakasiJuly 20, 2009

    Há ha ha ha kumbe machizi si wale wanaotembea uchi tu bara barani hata, wanaovaa suti wakaka kwenye computer...! Anony wa kwanza unamatatizo wahi mirembe haraka!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    michuzi post ya kwanza imepenyaje? hebu ufute ndugu yangu jamaa anatuchafulia hali ya hewa humu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...