Baada ya Rigwaride kali kule Goepingen juzi ambapo mambo yalikuwa swafi , Ngoma Afrika sasa FFU hao na karandinga lao wanajiandaa kupiga misele UFINI na wakirudi tu watakuwa na onesho lingeine mjini Balingen. Na endapo kama magazeti yanavyoonesha wadau walivyo na hamu na FFU ni kielelezo, basi atakuwa halali mtu kwenye shoo hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2009

    wazee wa ngoma afrika,karibuni sana ufini,mnakaribishwa kwa rahaa zenu,joto limeshaanza

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2009

    wazee tulitoana jasho wakati wa baridi sasa hali ya hewa ufini kama bongo,karibuni sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2009

    ukamanda ajauanza leo unajua aka kajamaa kalikua skauti alipokuwa anasoma pale shule ya kinondoni kwa mwalimu mama na jina lake halisi ni iblrahim sasa ushupavu na ugangamavu aliuanza zamani halafu kung fu ipo vile vile hapo sema si mgomvi labda umchokoze

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...