
Remembered by your wife Lulu sawe, your daughters Vivian,Viola and Nkansami,your mother Aleonica Mashoo,your brothers Billy, James, Charles,and your sisters Peris,J aneth and Lillian and all other familly members and friends with lots of love...
Family
PSALMS 23
I will always missing you my bro!!Nilijifunza mengi sana kutoka kwako na nitaendelea kudumisha yote kwa kukuenzi siku zote. Lots of Love. S.NZ
ReplyDeleteIs this Richard the former Old Moshi Secondary School student?
ReplyDeleteIf so, I would like to send my salamu to the family as he was my classmate and a dear friend. RIP Richard
Nakupenda kaka yangu Richard na itaendelea kukupenda mpaka mwisho wa maisha yangu!!with lot of love Lilly,yes ndie richard wa Old Moshi secondary,asante kwa salamu mdau 04.14.00
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi,tulikuwa pamoja Dodoma. na tulifahamiana vizuri.Lulu pole sana.
ReplyDeleteRichard:
ReplyDeleteYou were a bright student at Sokoine Univ and a shining one with great potential. It is saddening that you passed so soon!
Nilikuwa shocked nilipoona picha ya Marehemu Major Urassa ambaye alikuwa baba yake ndiyo nilipojua kwamba Rich amefariki, tulikuwa wote Oljoro JKT na tulijuana siku nyingi na familia (Jeshini) - poleni sana RIP RICHARD - Mshomi's
ReplyDeleteRichard, your spirit lives on. Gone too soon. Lulu take care of yourself and the kids
ReplyDeleteOOOHHH!!! My God....OH my Gosh...OOOH Lord!! I didn't know that Richard is dead? I used to admire this humble guy! I am totally shocked.
ReplyDeleteKumbe kuishi nje muda mrefu nakwenda nyumbani only briefly tunapitwa na mengi.
Jamaniiiiii!!! May Our Gracious Lord Continue to Keep Your Soul in Eternal Peace Richard....
Ohh! My Gosh; He had 3 beautiful girls....daddy little girls....Poleni sana wote katika familia.
Yaani 6 years ago????????????!!!!!
ooohh Lord...I am totally shocked.
J.
Toronto.