Home
Unlabelled
forodhani gardens in Zanzibar now open for pubic
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
For goodness sake. Who is Sultan Khalifa? Surely, not again...!
ReplyDeleteBrother Mich, please change the tittle of this image, Forodhani Gardens In Zanzibar now open for ((((("PUBIC")))))
ReplyDeleteInatisha hii.
by mdauzz
open for PUBIC?? MISTAKE MICHUZI, public
ReplyDeletetping error zingine noma kweli,ikikuponyoka tu watu heee!kumbe nao huwa pia zinawaponyoka ila ni kwakuwa hatuwajui! siku moja ilniponyoka hapa ktk blog badala ya n ikaingia m acha watu wachonge. kwahiyo kaka misupu subiri waosha vinywa wastukie uone watakavyo kuibukia na mambaghala!hehehe
ReplyDeleteBrilliant! Congrates First lady Mama Karume!
ReplyDeletePubic?????? english english my bruza!!!!
ReplyDeleteI hope you meant Public
ReplyDeleteOpen for pubic hairs. Thanks for your attention, and welcome
ReplyDeleteebwanaaaaaaaeeeeeeeeeee...kudadeki
ReplyDeleteWalau sasa machekibob wa mji mkongwe watapa nafuu.. mana hawa wakikosa mbatata za urojo na mishkaki ya adinani akili huwa hazituliiii.
Ni hatua nuri inayopaswa kupongezwa na kila mpenda maendeleo kwa hapa hata Mhe. karume atakuwa na haki ya kuuliza "DOGO HILO" big up kwa Ahag Khan Foundation na wote walioshiriki.
Unajua nn kwa yoyote afikaye zenjiberi bila ya kufika Forodhani hajaijua kabisa raha ya Zenj, ni sehemu iliyotulia kwa mapumziko ya wastaarabu ila kwa muda mwingi ilisakamwa na mauchafuz.
Wazo langu kwenu wadau tujitahidi kudumisha usafi ktk kioto hiki kilichoboreshwa.
Mwanaazanzibaaar.
jamani tuwe tunapitia vitu tunavyoandika mara mbilimbili kabla ya kupost kaka michuzi,PUBIC tena kichwa cha habari kikubwaaaa du noma hii bro michuzi.
ReplyDeleteHaya ndio yale ya Ladies and gentlemen we have found a pair of testicles in the toilet badala ya a pair of spectacles!!!
ReplyDeleteKaka Mithupu badilisha haraka sana. Waosha vinywa ndio wanaamka.
Hapa navyopaona, sidhani kama wale wenzangu na mie kina "Dula", "Chidi", "Mudi" waliokuwa wanauza "urojo" watapata tena nafasi ya kufanyia biashara hapo.....Hapo patakuwa kwa wakina "Karu....." tuuuuuuuu basi..Michuzi please usibanie hii, ni ukweli mtupu naouongea hapa
ReplyDeleteHahahaaahahaaaaa, Michuzi ahsante sana, angalau weekend nimeianza kwa kicheko, very very funny - pubic. Thanks man, you made my day. Kesho nitaenda huko Foro, barefeet to the top.
ReplyDeleteWalaaaa hajakosea, ni PUBIC kwa kwa kwa!!!!!! ooops I mean Public! watu kwa kukosoa hamjambo!!!! this is the funniest word i have read for the day!!! Thanks brother Mithupo!!!!
ReplyDeletemmmmh please change hiyo PUBIC iliyokosewa tafadhali ht km inashika attention kusoma habari lkn isiwe kwa style hiyo.....
ReplyDelete