"Sultan Khalifa's fountain plays again"
The Forodhani Gardens in Zanzibar are now officially OPEN
Photo courtesy of Peter Bennet

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Al MusomaJuly 31, 2009

    For goodness sake. Who is Sultan Khalifa? Surely, not again...!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2009

    Brother Mich, please change the tittle of this image, Forodhani Gardens In Zanzibar now open for ((((("PUBIC")))))

    Inatisha hii.

    by mdauzz

    ReplyDelete
  3. open for PUBIC?? MISTAKE MICHUZI, public

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2009

    tping error zingine noma kweli,ikikuponyoka tu watu heee!kumbe nao huwa pia zinawaponyoka ila ni kwakuwa hatuwajui! siku moja ilniponyoka hapa ktk blog badala ya n ikaingia m acha watu wachonge. kwahiyo kaka misupu subiri waosha vinywa wastukie uone watakavyo kuibukia na mambaghala!hehehe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2009

    Brilliant! Congrates First lady Mama Karume!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2009

    Pubic?????? english english my bruza!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2009

    I hope you meant Public

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2009

    Open for pubic hairs. Thanks for your attention, and welcome

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 31, 2009

    ebwanaaaaaaaeeeeeeeeeee...kudadeki

    Walau sasa machekibob wa mji mkongwe watapa nafuu.. mana hawa wakikosa mbatata za urojo na mishkaki ya adinani akili huwa hazituliiii.

    Ni hatua nuri inayopaswa kupongezwa na kila mpenda maendeleo kwa hapa hata Mhe. karume atakuwa na haki ya kuuliza "DOGO HILO" big up kwa Ahag Khan Foundation na wote walioshiriki.

    Unajua nn kwa yoyote afikaye zenjiberi bila ya kufika Forodhani hajaijua kabisa raha ya Zenj, ni sehemu iliyotulia kwa mapumziko ya wastaarabu ila kwa muda mwingi ilisakamwa na mauchafuz.

    Wazo langu kwenu wadau tujitahidi kudumisha usafi ktk kioto hiki kilichoboreshwa.

    Mwanaazanzibaaar.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 31, 2009

    jamani tuwe tunapitia vitu tunavyoandika mara mbilimbili kabla ya kupost kaka michuzi,PUBIC tena kichwa cha habari kikubwaaaa du noma hii bro michuzi.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 31, 2009

    Haya ndio yale ya Ladies and gentlemen we have found a pair of testicles in the toilet badala ya a pair of spectacles!!!
    Kaka Mithupu badilisha haraka sana. Waosha vinywa ndio wanaamka.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 31, 2009

    Hapa navyopaona, sidhani kama wale wenzangu na mie kina "Dula", "Chidi", "Mudi" waliokuwa wanauza "urojo" watapata tena nafasi ya kufanyia biashara hapo.....Hapo patakuwa kwa wakina "Karu....." tuuuuuuuu basi..Michuzi please usibanie hii, ni ukweli mtupu naouongea hapa

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 31, 2009

    Hahahaaahahaaaaa, Michuzi ahsante sana, angalau weekend nimeianza kwa kicheko, very very funny - pubic. Thanks man, you made my day. Kesho nitaenda huko Foro, barefeet to the top.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 31, 2009

    Walaaaa hajakosea, ni PUBIC kwa kwa kwa!!!!!! ooops I mean Public! watu kwa kukosoa hamjambo!!!! this is the funniest word i have read for the day!!! Thanks brother Mithupo!!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 31, 2009

    mmmmh please change hiyo PUBIC iliyokosewa tafadhali ht km inashika attention kusoma habari lkn isiwe kwa style hiyo.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...