
Michu Boy!
Usishangae kuona siku moja
watu wakiogelea kuelekea bongo.
Cheki ngoma hii...swala tete hili!
Mdau UK
THOUSANDS of foreign students granted visas to study at UK universities never turn up, figures have confirmed.
It has long been feared many simply use them as a way to get into the country.
Now figures for three universities alone have shown nearly 2,500 applicants failed to enrol in the last three years
Students from Saudi Arabia, Nigeria,
Tanzania and Pakistan went missing after getting places in Hampshire.
There were also smaller numbers from Iraq, Iran and Afghanistan.
About 1,436 students didn't show up at Southampton Solent University and another 998 at the University of Southampton. Elsewhere, 51 went unaccounted at nearby University of Winchester.
Sir Andrew Green of MigrationWatchUK said: "There are now thousands of bogus students in Britain but little is being done to remove them."
The figures relate to before the UK Border Agency brought in a system to monitor student arrivals this year.
A spokesman for Southampton Solent said some students apply to more than one university, sometimes in more than one country. He added others find they cannot afford to go or fail to get the required grades.
Sasa kama mtu kasikia kuwa kuna nafasi ya kubeba box,sasa jamani afanyeje na ukiangalia pengine nauli yenyewe kakopeshwa kwa mcahngo wa mfuko wa kijiji na katoa ahadi akifika U.K tu baada ya mwezi mmoja atalipa! kafika UK mambo kayaona ni moto bora Bongo
ReplyDeleteVyuo vyote vidogo-vidogo especial vya Wahindi na Weusi ni wizi mtupu. Vyuo vya serikali gharama kubwa basi kaazi kwelikweli. Ila kwa hii new system wengi tutarudisha majeshi nyumbani. Wadau wa bongo turushieni michongo ya kazi.
ReplyDeletewatu wanaokwenda ughaibuni inabidi wajue wanaenda kufanya nini.ni nchi ngeni na ukiwa kama mgeni inabidi ujue umeenda ugenini kufanya nini,kama si hivyo utajichanganya tu,na utajikuta unafanya mambo ambayo hayaendani na kote kwenu na ugenini.tuamke watanzania na kubadili mtazamo(mentality) tafadhali.
ReplyDeletehizi shule zina charge too much fee kwa international students uki convert hiyo pesa unayotakiwa lipa una tingisha kichwa hiyo fee ya semester moja tu utasoma Tz miaka minne na umalize
ReplyDeletePamoja na ukweli wa data zao inaonekana jamaa wanaaalngalia mabaya tu kwa mana wameshindwa kuonesha upande wa pili, upande wa wanafunzi wangapia wanao kuja kusoma na wanasoma kweli na kumaliza shule.
ReplyDeletePia hakutaka kuonyesha ni wamaiafa wangapi walioko UK kihalali na wanafanya kazi huku kwa mujiu wa sheria zao na kuwajengea uchumi wao Kwa ufupi hawakutaka kusema ni brain drain kiasi gani wamazifanyia nchi maskini kwa kuwaibia wataaaluma wao kwa jeuri ya pound zao
KUWA MWANGALIFU KUCHAGUA CHUO BY MAKULILO, Jr.
ReplyDeleteNakubaliana na wadau wengi hapo juu kwa mtazamo wa mtu kuangalia chuo na gharama za masomo, na kama umepata scholarship au assistantship au unakwenda kujilipia mwenyewe.
Ukienda chuo ambacho unatakiwa kujilipia mwenyewe wakati huna uwezo, namaanisha unadanganywa na watu kuwa fanya mishe uwe na bank statement ya mtu then upate visa uingie shule ufanye kazi ujilipie, hapo inaweza kula kwako, na shule ukaiona chungu na ukaanza kusema ughaibuni mateso, kumbe wewe ndio umekosea kuanzia mwanzo style ya kuyingilia shule.
Ni vyema mtu upambane kwa kufanya applications nyingi ktk shule ambazo mtu unapokua admitted tu unapewa scholarship au assistantship, hivyo unalipiwa mfano tuition and fees wewe ndio upige kazi upate hela ya matumizi na vitabu nk, hapo shule utaipiga na kufurahia maisha ya ughaibuni. Na unaweza kufanikiwa mipango yako kwa urahisi.
Nilikua nimeandaa Scholarship Information Workshop hapa Tanzania.Kwa sasa nipo Dar es Salaam kwa likizo ambayo inaisha ndani ya wiki 2 zijazo. Kwa bahati mbaya nimekosa udhamini wa tukio hilo, nadhani sio kipaumbele kwa baadhi ya makampuni, hivyo imeshindikana.Lengo la workshop hiyo ni kuwapa mwanga watu wengi ni jinsi gani unaweza kupata udhamini ughaibuni kupunguza makali ya gharama za kujisomesha huko huku ukipiga shule kwa nguvu nk.
Kushindikana kwa tukio hilo, nipo naandika makala kama 2 hivi ambazo nitaziweka ktk blog ya jamii hii na blog yangu www.makulilo.blogspot.com ambapo nitaelezea scholarships zinapatikanaje na zipo wapi, vigezo ni vipi nk. Hii itasaidia kwa kiasi flani, naamini.
Kwa kipindi hiki nawasaidia watu kupitia, free of charge consultancy kupitia e-mails na simu. My e-mail ni msauzi101@yahoo.com AU ernest_makulilo@yahoo.com Na namba niitumiayo kwa wiki mbili hizi zilizosalia hapa Tanzania ni 0713 383853 ukipigia unaweza kunipata na nikakupa ushauri ufanyaje, ujue sifa zinazotakiwa nk usije poteza hela zako bila sababu ya msingi au kuibiwa na mawakala wa vyuo nk.
Nawasilisha.
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
wewe mdau wa kwanza unajuwa kusoma lakini? upo nchi gani? umesoma link uliyowekewa? vijana wa nchi mbali mbali ambao wamtia mitini sio kama walijisajili katika vyuo ovyo ovyo walijisajili na wanaendela kujisajili katika vyuo vikuu vinavyotambulikana na kuheshimika kwa standard za masomo wanayotowa. soma tena link halafu tizama position zao katika vyuo bora vya uk na utaona ni kiasi gani umeropokwa ovyo.
ReplyDeletehawa watu wajinga kweli kupata admission sio kwamba mtu kakimbia labda mtu kaenda chuo kingine,kazi kuangalia mabaya tu,vyuo vyenyewe bogus hamna walimu wa maana mi ninachoona vyuo vya hapa uk unagain confidence tu lakini hamna kuelimika kokote
ReplyDeleteNawengi wao ndio mnao waona katika matawi ya chama wanafanya ndio kivuli chao
ReplyDeleteKusema ukweli ni kwamba tunapokuwa Tanzania tunakuwa tunadanganya kuwa unaweza kuja ughaibuni na kufanya kazi na kujilipia, ila hatuulizii undani wa kufanya kazi ni kwamba ukiwa mwanafunzi unakuwa una vikwanzo na sheria hairuruhusu wewe kufanya kazi ambayo inaweza kukuletea kipato cha kulipia, kwa ufupi mtu yeyote anaetaka kuja ughaibuni especially Uk akumbuke kuwa kusoma proper University ni ghali si chini ya £6000 na £7000 kwa mwaka , sasa kama huna sponsor ni bora utulie bongo na usome huko kama una akili ya kusoma na upate kazi ila ukiamua kweli kusoma bila sponsor utaishia kuacha shule tuu, pia ikumbukwe hata kama una ada kuna progress vile vile ukifeli sana inabidi urudie na ndio hata wanafunzi wenye sponsor wanabanwa hapo maana huwezi kuendelea ukifeli hata kama una pesa.kuna mambo mengi sana tunatakiwa tuyaangalie na tupeane au tutafute habari za kutosha kabla ya kwenda kusoma nje.Hata kama utalipiwa ada ukiwa unafanya kazi unapata pesa za kutumia ukiingia kwenye starehe kusoma kutakushinda vile vile, tatizo sio ada tuu.na maadili tatizo.kuna wanao lipiwa ada kila siku hela wanakula na shule hawaendi.habari ndio hiyoo
ReplyDelete