Home
Unlabelled
abdallah mitawi na mwanaharusi shein wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
why why too much poda jamani
ReplyDeleteila hongereni
all the best
Jamani sio kwamba nataka ku-critisise, lakini such a beautiful woman, what did she do to her face? amepaka nini?au ni poda? look at people around her they all look natural with human colour,lakini huyu mama does not have a human colour,hiyo rangi ya uso wake ni kama rangi nyeupe ya karatasi. Why did they do such a thing to her? especially on a special day like a wedding?
ReplyDeleteWatu wengine wana roho mbaya jamani!
jamani naona aliyempamba bi arusi alimwambia asijiangalie kwenye kioo, she is cute but the poda!s i think was too much. lakini usijali dada mme unaye hongereni
ReplyDeleteHii ni kawaida ya ki na mama wengi wa kizanzibar sijui walifundishwa na nani upakaji wa ponda,. asilimia kubwa ukienda kwenye harusi zao utatamani uchukue kitambaa umfute, ponda inazidi uso bwana kha
ReplyDeleteHii ni kawaida ya ki na mama wengi wa kizanzibar sijui walifundishwa na nani upakaji wa ponda,. asilimia kubwa ukienda kwenye harusi zao utatamani uchukue kitambaa umfute, ponda inazidi uso bwana kha
ReplyDeleteNyie kaeni tu mnachambua poda mwenzenu huyooo kapata mume anakula bata honeymoon nyie mpo tu poda poda
ReplyDeleteanony hapo juu wa 03:34 umesema kweli dada keshapata mume basi asijipake hata poda akajipake kinyesi kabisa,kupata mume kuta-justify anything.
ReplyDeleteMnyonge mnyogeni lakini haki yake mpeni huyo dada afadhali hakujichuna kama kina dada zetu hapa bongo ni kweli ponda nyingi lakini kutokea miaka hiyo karnr wazenji wamekuwa nautamaduni wa kupaka poda hata katika kwapa tafauti hapa kwetu bongo mamo ya manukato ni hivi baada ya kuingia mzee Riksa
ReplyDeletewe anony wa 10:15 PM naomba usitudanganye kwamba bara manukato yalikuja wakati wa mzee ruksa,ongelea nafsi yako wewe,sema mimi niliacha kunuka kikwapa wakati wa mzee ruksa.It's illiterate Tanzanians like you who misrepresent
ReplyDeletesociety,so speak for yourself [MORON]
MTOTO WA DIRECTOR WA RADIO ZBAR KAMUOA MTOTOWA MAKAMU WA RAIS....HONGERENI
ReplyDeleteHONGERENI SANA SANA, Mwanaharusi na Dullah. I wish ningekuwepo ktk ndoa yenu. My message to you "make sure your dreams come true".
ReplyDeleteKwa niaba ya wanacossovo wa IJMC hizi ni salamu kutoka kwa Papa Vinywaji. Tupo Pamoja.