Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa ya upendo hartsuiker na fadhili akida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i hope mnakuwa mmenawa mikono lakini, bora kutumia uma sometimes.
ReplyDeleteWee anon (Fri Jul 31, 05:37:00pm)
ReplyDeleteati i hope wamenawa mikono, ala kwani hata wangetumia uma, ungeuliza hivi uma waliosha huo, wangapi wamelia huo uma. na kijiko pia uendapo hotelini wangapi wametumia. Mimi wakati mdogo nililishwa uji kutumia vidole na sio kijiko wala uma. na kama mtu unamlisha mtu kutumia vidole basi huonyesha kwamba unamthamini mtu. na kama unalisha kwa kijiko unaonyesha kuwa unakinyaa kidogo
ni hayo tu
P.E.D
tabia ya kulishana keki na mikono imetoka wapi jamani. mE NAJUA MTU NA MPENZIYE WAWEZA FANYA HIVYO LAKINI STRANGERS mmh. especialy wanaumu( c unajua tena )
ReplyDeletehuu ni uchafu na ukomeshwe asap
Mweee!! Anko nanihii ofisin kwenu hamna Uma wala toothpicks?? Iyo mikono yenu tutaimanini vipi na usafi wake?? Nakumbuka wakati wa enzi za mwalim Anko ulikua unatembeaga na toothpicks mfukoni ili ukipata ofa ya nyama iwe rahisi kujisafisha kabla ya kufika home..sasa siku izi hautembei nazo tena?? USINIBANIE COMMENT YANGU TAFADHAL
ReplyDeleteMtu ni Afya Jamani acheni kutumia mikono!!!! Uma za plastiki bei chee tuu
ReplyDeleteP.E.D hapo juu - hakuna haja ya kung'aka. Kutokunawa mikono kunaweza kuwa ni chanzo cha usambazaji wa magonjwa mengi sana. mtu anaweza akawa ametoka msalani na hajanawa vizuri, au anaweza kuwa na mafua.
ReplyDeleteWatu hutumia disposable forks au toothpicks, unamlisha mtu halafu unatupa. Mimi nimetoa comment ya kwanza hapo juu, na lengo halikuwa kuzungumzia kama mtu anathaminiwa au hathaminiwi. Lengo lilikuwa ni ku point out tu kuwa hiyo practice siyo nzuri. Kwa taarifa yako tu,hata ukisalimiana na mtu kwa kushikana mikono hakikisha umenawa na sabuni kabla hujakula, na kabla hujajishika usoni.
Na huyo aliyekuwa anakulisha kwa vidole, nina uhakika alikuwa ananawa kabla hajakulisha, otherwishe kama alikuwa anakulisha bila kunawa ungekuwa umepata magonjwa mbalimbali mara kibao
usimlishe mtu keki especially kwa kutumia mkono wa kushoto maanake huo mkono ni mchafu. Hamna hata uma za plastic?
ReplyDeletemambo mengine jamani ni kinehi!
ReplyDeletesawa mdau (Fri Jul 31, 07:37:00 PM). nimekuelewa, ushauri wako mzuri tu, ila tu nilikuwa natoa wazo kama vile minavyoona.Sikuwa na wazo baya.
ReplyDeleteUlivyosema ni kweli, lazima usafi kuzingatia. Lakini wakati mwingine unaona kama keki tepetepe halafu analisha watu wawili kwampigo. kwanza ingedongoka kama angetumia uma, na vile vile angetumia uma mbili bahati mbaya zingeweza kuishia machoni mwa hao wenye besidei.
jana nasubiria dala dala jamaa mmoja alisimama karibu nami kapengakamasi halafu hana leso wala nini. alikuwa ameshika mfuko wa khaki ulikuwa una karanga hizi za kuchemshwa. Tumeingia wote kwenye daladala akaanza kula karanga. basi akachota kidogo akanipa, natamani kupokea lakini du nakumbuka kabla hajaingia kwenye daladala alipenga kamasi. Akaniambia hula karanga? Nikajibu asante nimeshiba. Kaniuliza mbona tuliposimama ulikuwa unaangalia kama unataka kununua na wewe? nilishindwa cha kusema.
asante
Ni hayo tu.
P.E.D
Hongereni sana. Hafla kama hizo kazini upunguza stress za kazi na pia uleta upendo sehemu ya kazi. LAKINI WAZEE WANGU HUYO MTANI WANGU LUKWANGULE AMEKATAZWA NA DAKTARI VYAKULA VYENYE SUKARI BILA SHAKA KEKI ANYOPATIWA NI KIPANDE CHA MUOGO! HAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDelete