Home
Unlabelled
hepi besdei ya miaka miwili ya brian
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaaziii kweelii kweli kimatumbi hiki -
ReplyDeletetoo = two = 2 = tuu = to !
Brian hepi besdei ya kuzaliwa mtotooo lakini mrudishie anko nahii ze fulanazzzz yake tehe tehe tehe!!!!!
ReplyDeleteHongera sana Brian, uwe mtoto wa \yesu, mpende na mshike kwa maisha yako yote.
ReplyDeletekwani wamgambire matusi mtoto?
ReplyDeleteLooooh!good try. Sio kama english not reachable,walaah. Tatitzo letu watz niukosefu wa uhakikisoma(provereading)tubadilike hii typing error.
ReplyDeleteSi vema sanaa kuweka picha ya mtoto kwenye mtandao ambao unaonekana dunia nzima.
ReplyDeleteNadhani tuwe makini kwa hili. Picha hii inaweza ikatumiwa vibaya never know.
anon wa 02:43 wewe ndo unayetaka kuitumia picha ya mtoto vibaya. Akili yako imejaa uchafu. Na tutakushika wewe
ReplyDeletehongera Brian u look good like my son Brian.
ReplyDeleteMimi pia sijamuelewa huyo anon was 02:43, "Si vema sanaa kuweka picha ya mtoto kwenye mtandao ambao unaonekana dunia nzima". This totally B.S.Jamani kabla ya kuandika comments naombeni mfikiria kwanza in terms of "out of the box". Mimi naamini huyu anon hata kama ameenda shule basi anaishi maisha ya shida sana. Can't take a risk. Happy Birthday B. USA.
ReplyDeleteprovereading au proof reading just asking me inglish is not richabo.
ReplyDeletemmh hapo kaka utata maana naona kama fulanaz imewakilisha kivingine au ndio mojomba
ReplyDeleteHuyo ano sio kosa lake, mambo ya uchawi kaweka mbele. Kwa hiyo kaona picha ya Brian tu? Happy b'day Brian for reaching 2yrs. God be with you quaint boy.
ReplyDeleteAnon wa 02.43 Mungu akupe amani, usikaribishe mawazo mabaya tu kila mara kichwani.
ReplyDeleteHappy Birthday Brian. Mungu akupe hekima yake.
Jamani msidakie tu kama hamjamuelewa mtu sidhani kama huyo annon aliyesema kuhusu kuweka picha ya mtoto sio vizuri anamaanisha uchawi if im not mistaking anamaanisha kuwa kuna watu wanatumia picha za watoto kwenye bad site kama pono na vitu kama hivyo!!
ReplyDeleteHongera Brian vile vile kwa kutoa droo na Mdau mkuu wa Libeneke na Nanihii.. (fulanaz!!) tee hee (dRU)
ReplyDeletedamu ya yesu kristo ikufunike brian na mabaya yote na hata na macho ya mahasidi mwanangu ! mungu akubariki na akupe afya njema baba ... tunakupenda sana brian !! watanzania sweden.
ReplyDeletesijaelewa anayesema sio vyema kuweka picha ya mtoto ana maana gani hasa!!!!!!!!!!!!!!! sielewi kabisa.HAPPY BIRTHDAY MWANETU BRIAN WE.MUNGU AKUPE AFYA NA FURAHA DAIMA.
ReplyDelete