Brian
Happy Birthday to youuuuuuu!
ur now too years old,
God bless u my son, Brian Mugisha Sospeter.
Mom Lucy

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2009

    Kaaziii kweelii kweli kimatumbi hiki -

    too = two = 2 = tuu = to !

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2009

    Brian hepi besdei ya kuzaliwa mtotooo lakini mrudishie anko nahii ze fulanazzzz yake tehe tehe tehe!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2009

    Hongera sana Brian, uwe mtoto wa \yesu, mpende na mshike kwa maisha yako yote.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2009

    kwani wamgambire matusi mtoto?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2009

    Looooh!good try. Sio kama english not reachable,walaah. Tatitzo letu watz niukosefu wa uhakikisoma(provereading)tubadilike hii typing error.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2009

    Si vema sanaa kuweka picha ya mtoto kwenye mtandao ambao unaonekana dunia nzima.

    Nadhani tuwe makini kwa hili. Picha hii inaweza ikatumiwa vibaya never know.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 30, 2009

    anon wa 02:43 wewe ndo unayetaka kuitumia picha ya mtoto vibaya. Akili yako imejaa uchafu. Na tutakushika wewe

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 30, 2009

    hongera Brian u look good like my son Brian.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 30, 2009

    Mimi pia sijamuelewa huyo anon was 02:43, "Si vema sanaa kuweka picha ya mtoto kwenye mtandao ambao unaonekana dunia nzima". This totally B.S.Jamani kabla ya kuandika comments naombeni mfikiria kwanza in terms of "out of the box". Mimi naamini huyu anon hata kama ameenda shule basi anaishi maisha ya shida sana. Can't take a risk. Happy Birthday B. USA.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 30, 2009

    provereading au proof reading just asking me inglish is not richabo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 30, 2009

    mmh hapo kaka utata maana naona kama fulanaz imewakilisha kivingine au ndio mojomba

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 30, 2009

    Huyo ano sio kosa lake, mambo ya uchawi kaweka mbele. Kwa hiyo kaona picha ya Brian tu? Happy b'day Brian for reaching 2yrs. God be with you quaint boy.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 31, 2009

    Anon wa 02.43 Mungu akupe amani, usikaribishe mawazo mabaya tu kila mara kichwani.

    Happy Birthday Brian. Mungu akupe hekima yake.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 31, 2009

    Jamani msidakie tu kama hamjamuelewa mtu sidhani kama huyo annon aliyesema kuhusu kuweka picha ya mtoto sio vizuri anamaanisha uchawi if im not mistaking anamaanisha kuwa kuna watu wanatumia picha za watoto kwenye bad site kama pono na vitu kama hivyo!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 31, 2009

    Hongera Brian vile vile kwa kutoa droo na Mdau mkuu wa Libeneke na Nanihii.. (fulanaz!!) tee hee (dRU)

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 31, 2009

    damu ya yesu kristo ikufunike brian na mabaya yote na hata na macho ya mahasidi mwanangu ! mungu akubariki na akupe afya njema baba ... tunakupenda sana brian !! watanzania sweden.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 31, 2009

    sijaelewa anayesema sio vyema kuweka picha ya mtoto ana maana gani hasa!!!!!!!!!!!!!!! sielewi kabisa.HAPPY BIRTHDAY MWANETU BRIAN WE.MUNGU AKUPE AFYA NA FURAHA DAIMA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...