
tamasha la Rainforest ambalo linakusanya wasanii toka kila pembe ya dunia hapa Malaysia limefanyika kwa siku tatu huku Africa ikiwakilishwa na mwanamuziki Hukwe Zawose jnr, mtoto wa marehemu Hukwe Zawose na wanzake toka Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
Tamasha la mwaka huu lilikuwa na vikundi vingi lakini kwa mujibu wa magazeti ya Malaysia Zawose alifanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki na washiriki wenzake hasa kwa mavazi yao pampja na jinsi wanavyoimba na kupiga ala zao za asili.
kwa habari zaidi gonga hapa
http://spotistarehe.wordpress.com/
kwa habari zaidi gonga hapa
http://spotistarehe.wordpress.com/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...