Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HATUJAROGWA MH ILA TUNAJIROGA WENYEWE HALAFU KWA JINSI TULIVYO WAPUMBAVU TUNATAFUTA MCHAWI NANI, MARA OOOH WAKOLONI, MARA OOH MABEPARI, MARA UKAME. NK. NK.
ReplyDeletesisi tumelala. ufisadi, majungu, kukurupuka, kutokuona mbali, kukumbatia upumbavu kama uchawi na ushirikina, uvivu hasa wa kufikiria na kupenda kujikweza na kukwezana.
ReplyDeletebado tupo usingizini.
hapo LAANA nani kipanya kama sio Wazungu? Hiyo ya kulogwa sijui wala siamini.
ReplyDeleteMmewekewa Dunia na Akhera Hamtaki Dunia wala Akhera alafu mnataka kukimbilia Masayarini wakati mmewekwa pazuri kwenye mitihani ambayo mnashindwa wenyewe.
Tupo pamoja tumuombe mungu tu tutafika, pazuri akhera kuliko hapo Sayarini.
Main problem on are Africa are:
ReplyDeletewe invest too much on "individual excellence" instead of "institutional excellence"
Thus why there are too many problems on procurement, curruption and lack of national interest!
wazungu wametuloga
ReplyDeleteAfrica imejaliwa vijana kama akina mashaka na Dr shayo, hamuwatumii matokeo yake wazungu wanawatumia , si mambo ya ajabu haya?
ReplyDeleteAfrica future iko chini ya waafrica wenyewe
Afrika itaendelea vipi wakati viongozi wake wanakumbatia rushwa. Uchaguzi unaendeshwa kwa rushwa na ushabiki wa kisiasa badala ya kuzingatia zaidi maendeleo ya nchi na watu wake. Kama viongozi wanapewa muda kuongoza nchi halafu mwisho hakuna mabadiliko ya kimaendeleo basi inabidi viongozi hao ndio wabadilishwe ili wanapokuwa maradakani wajua kwamba kazi yao ni kupigania maendeleo ya nchi na watu si tu kuibia nchi na kutumia fedha za ufisadi kwenye uchaguzi unaofuata na kuendelea kukaa madarakani. Kwa hiyo uwezo wa nchi za Afrika kuendelea upo sana hakuna cha kulaniwa wala kurogwa ila tatizo ni viongozi kwani ndio wanaotakiwa kuandaa sera(policy)nzuri na kusimamia utakelezaji wake.
ReplyDeleteWapiga kura nao wanatakiwa kutumia fursa yao ya kuchagua kufanya mabadiliko ya viongizi kama wanashindwa kufikia malengo. Kama watu watalalamika tu bwana hakuna barabara, maji, wala shule n.k halafu uchaguzi ukifika wanapiga kura tu bila kufanya uchambuzi, hali itabakia hivyo tu miaka nenda miaka rudi.
Nadhani wengi wetu tunajua kwamba policy ya Marekani kwenda mwezini ilianzishwa na Rais John Kennedy (tafuateni hotuba yake maarufu "We choose to go to the moon" kwenye internet) ambaye aliazimia kwa dhati kwamba lazima Marekani itume mtu mwezini. Hata ingawa alikufa kabla ya hilo kutimizwa viongizi wengine waliofuatia waliendeleza mpango huu na hatimaye mwaka 1969 Marekani walitua mwezini.
Hii inaonyesha viongozi kote dunia hata Afrika wakiamua kwa nia ya dhati kabisa kuleta maendeleo yatakuja tu. Tabia ya kiongozi wa nchi kuingia mikataba feki ambao inadidimiza shughuli za uchumi kama hapa Bandari Dar tena wakati yeye anaondoka madarakani haitatupeleka popote.
Mapepo yamewakamata watu hadi hawajui wanatakiwa wafanye nini!!
ReplyDeleteTatizo ni kuwa wazungu walishaturoga sana hadi akili zetu zikawa kama zezeta. Mtoto umleavyo ndivyo akuwavyo. Sasa sisi Watanzania tulipoanza kupata akili tuliwakuta Wakoloni wakiwa wameshatuzidi maarifa kutudanyanya, kutufanya wajinga hadi sasa Ujinga umekaa akilini mwetu na hautoki tena.
ReplyDeletewatu wanafikiri uchawi uko afrika tu! wazungu ndio wachawi wakubwa. nyie mtakwendaje kwenye mwezi na mnatafuta nini huko?????? sasa wametuletea hili hirizi la 'utandawazi', ndio kabisa linatumaliza - linapigilia msumari wa mwisho katika jeneza la hayati afrika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! RIP
ReplyDeleteSomebody well educated said recently "Africa doesn’t need strongmen, it needs strong institutions."
ReplyDelete...and you wonder who will create those "Strong Institutions" if it's not strong people! Strength in people could be in minds and physique. MIND YOU.
ReplyDeleteSwali la umuhimu ni kwamba: Wangapi kati yenu mnaamini kwamba tukio hili lilitokea? Au kwa sababu linawahusu wazungu, basi ni la kuamini tu? The doubt surrounding this "Moon Landing" idea is many. Yakiwemo: 1.Inakuwaje tukio litokee miaka ya 1969 wakati technology ilikuwa hafifu, halafu leo teknolojia ni kubwa, hatuwezi ku-repeat?
ReplyDelete2.Je umeshawahi kumsikia hata siku moja muhusika (Neil Armstrong) akiongea kwenye vyombo vya habari?
3. Juzi tu, yaani tarehe 15/7/2009, wanasayansi wa NASA wameitengeneza na kuipalilia picha/filamu ya 'Moon landing' ambayo wanadai kwamba ilipotea au kufutwa miaka ya 1980...Just a few. There are a lot more of doubts out there that needs your inquisition and education to find.
WEWE MDAU UNAYEKUWA SCEPTIC NA MOON LANDING, WATU WALITUWA MWEZINI, ARMSTRONG KUWA KIMYA HAINA MAANA HAKUTUWA, KILA MTU NA HULUKA YAKE MBONA BUZZ ANAZUNGUMZA SANA JUU YA KUTUWA KWAKE MWEZINI NA UJUWE SI U.S.A TU AMBAO WALIFIKA MWEZINI HATA RUSSIA NDO WA KWANZA KURUKA KATIKA ANGA ZA MWEZI MWAKA 1957 NA WALI-BEAM IMAGE ZA MWEZI DUNIANI KWA MARA YA KWANZA HII HAINA UBISHI NI KWELI WALITUWA, WAMEKUWA KIMYA MUDA WOTE KWA VILE POLITICALLY IT WAS SEEN AS INCORRECT TO CONTINUE TO DO SO WHILE MILLIONS OF AMERICANS BY THAT TIME WERE GOING HUNGRY, AND EVEN UNTIL TODAY MANY AMERICANS ARE GOING HUNGRY AND NO PLACE TO CALL HOME, IT WILL BE FOOLISH TO USE SUCH COLOSSAL AMOUNT OF MONEY FOR THAT MISSION WHILE OTHER PEOPLE ON EARTH ARE SCREWED. WHY NOT USE SUCH MASSIVE AMOUNT OF MONEY TO FEED THE WORLD, TO FIND CURE FOR HIV, ERADICATING MALARIA AND POVERTY ALLEVIATION WORLDWIDE
ReplyDeleteKipanya umezoza kwani walikuwa hawataki watu kwenda kusoma njee,waendekusoma nje vijana wa wakuutu ambao wengi wao ni vichwa box.Yaani ngoma itafagia,kwani ndio uwezo wa africa,Kwani Asia wako mbali balaa.Anonymous.
ReplyDelete