Miss Universe TZ 2009 Illuminata James akipokea bendera ya Taifa kutoka kwa meneja wa huduma za utalii Mama Serena Shao huku mwandaaji wa Miss Universe TZ Maria Sarungi-Tsehai akishuhudia. Illuminata anapaa leo kwenda Bahamas yatakofanyika mashindano ya dunia ya Miss universe mwaka huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2009

    Kaka Mithupu hivi huyu meneja si alikuwa meneja wa baadhi ya mahoteli anzi ya mwalimu, nilimfahamu kwa jina la SELINA.hilo SERENA umelitoa wapi?

    ReplyDelete
  2. Nakutakia kila la KHERI Dada!

    ReplyDelete
  3. Tunakuombea Mema dada, kila la kheri onesha anuani tutakupigia kura.

    ReplyDelete
  4. Haya Tena! kwa mara nyingine Tena Bendera ya Taifa yageuzwa Juu chin, Chini Juu, kweli Bongo Tambarare, alafu na picha inatolewa kwenye media then Public

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2009

    mbogela nimekuaminia.

    ReplyDelete
  6. Mtambo wa Kurekebisha TabiaJuly 31, 2009

    Bwana Mbogera wacha kulaumu kila unachokiona. Hayo ni matatizo. Kwani ikigeuzwa juu chini kuna ubaya gani? Jirekebishe, sio kila kitu ukiona we kukosoa tu. Inawezekana tatizo lako hulijui. Mi nakukumbusha tu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2009

    Who cares bendera imeangalia kulia, kushoto, chini juu.... tha's all mundane

    Tunapoteza muda kuangalia vitu vidogo na kusahau vikubwa, why kwasababu we have decided to ensmall our minds.....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2009

    Jamani wananchi, bendera hiyo kijani juu, na bluu chini! Mambo haya yana matter kisheria, sivyo?

    ReplyDelete
  9. kwa upande wangu bendera ni kitu cha kawada sana je mtu akishinda kama wale wakimbiaji akajifunga mgongoni pindu kwa hiyo sio bendera haacheni kumaindi vitu vidogo, je akijifunga kichwani inakuwaje si bendera hacha washikaji.

    ReplyDelete
  10. Indeed that is Celline Shao. Hi aunty! Long time. Hope all is well with u and ur family. Nice to see u still looking GOOD!
    God Bless na kazi yako since...
    NB: Michuuupleasefikisha salaam hizi kwa my lovely aunty Cellina S.
    Mdau, Ukerewe...Zamani i lived in Upanga Mashariki!

    ReplyDelete
  11. "Serena" sounds good compared to Selina wee jamaaa vipi mambo ya utandawazi na mama bado wamo atiiii!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...