Home
Unlabelled
JK na Mama Salma katika hafla ya MEWATA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Doctor ana good smile mama JK yuko jelous amenuna ile mbaya
ReplyDeleteAsante Dr. Marina kwa kazi nzuri, pia Vazi limependeza sana eti, Wewe na wenzako mnachapa kazi vizuri sana. Hivi naona tutatuma maombi kwa Raisi Kikwete akuteue kuwa MKuu Wa MUHAS au Katibu MKuu wa Wizara ya Afya. Maana daima unayom nia njema na pia unaongozwa moyo wa kuchapa kazi ukitumia Utaalam wako.
ReplyDeleteKila la heri
hongera Marina kwa PhD ya Medicine. naona watoto wa Forodhani Primary na Zanaki Sec mnawakilisha.
ReplyDeleteMichuzi,
comment zisizo na maana kama za huyo anayedai Mama Salma ana wivu tunaomba usizilete hapa. ni comment za kudhalilisha wanawake.
Michuzi usinibanie hii tafadhali.
ReplyDeletePamoja na kazi nzuri wanayofanya MEWATA, mimi nawaona hawa ma-dokta akina mama kama wajasiriamali wengine tuu kwani huduma zao na hasa katika kutoa huduma kwa akina mama wenye saratani ya matiti huwa ni ghali sana.
Nilifuatilia kwa karibu sana ile kampeni yao ya Dodoma na Manyara ambayo ilikusanya pesa nyingi sana lakini kwa maoni yangu naona huwa wanajilipa very expensive. Wana-diagnise tuu, lakini huwa hawatoi dawa mind you.
Je wanaweza kutoa mahesabu ya pesa yote ambayo wamekusanya hadi sasa ,na allowance wanazolipwa madaktari katika kutoa huduma kwa akina mama wenye saratani?
Hivi Michuzi wewe kama mwandishi wa habari ukiandika habari umetimiza wajibu wako au jamii inapaswa kukuchangia kufanya kazi hiyo?
Hawa madaktari wamefundishwa na hela zetu sisi walipa kodi, kwa nini waendeshe kampeni za kukusanya pesa za kuwawezesha wao kutoa huduma? I have reserved comments about MEWATA.
Nawasilisha.
...sio ndio?ata sura tu inaonyesha au ndo "consetration"
ReplyDeleteila uyu Dr na wezie wanachapa mzigo kiukweli jamani,,u deserve the trophy,,
Mungu awabariki kwa kazi yenu,mtalipwa msipozimia moyo
wanawake juuuuuuu
Dr Marina hongera sana, we are all proud of what u are doing.God bless you and ur team.
ReplyDeleteMdau hapo juu wa 10:22 sijui anafanya kazi gani ila ananishangaza sana anavyozungumzia suala la allowance kwa hawa madaktari wanawake wanaokwenda mikoani kuwahudumia kina mama wenye matatizo ya saratani ya matiti. Hawa madaktari wangeamua kutulia sehemu zao za kazi na ujuzi wao bado wangelipwa mishahara na wanawake sehemu nyingi wangeendelea kufa bila huo utambuzi wa saratani. Lipi bora? Wapewe motisha wawafikie wanawake wengi au wakae wanawake waendelee kufa. Acha wivu ndugu yangu weee. Mezani kwako hakuna chakula?
ReplyDelete