JK akila pozi na Majaji wa Mahakama Kuu 10 wapya na Msajili wa Mahakama ya Rufaa baada ya kuwaapisha jioni hii Ikulu Dar.
Toka shoto mbele ni Wah. Majaji Hamisa Hamisi Kalombola,Fatuma Hamisi Massengi, JK, Pelaggia Barnabas Khaday na Frederica William Mgaya.

Wengine nyuma toka shoto ni Msajili wa Mahakama ya Rufaa Francis Katabazi Mutungi, Wah. Majaji Ferdinand Wambali, Eliamani Mbise, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi,Sekela Moshi,Moses Gunga Mzuna and Prof.Ibrahim Hamisi Juma. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2009

    Kuna kazi mwaka huu!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2009

    hongereni majaji wetu, nategemea mtatenda hakina mtakua mbali na rushwa.....Hon. Lady Justice mwenye hijabu nimempenda anaonekana ni mtulivu.

    ReplyDelete
  3. SEKI Idadi mambo safi baba balozi mama Jaji

    ReplyDelete
  4. wakristu ndio wamejaa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...