
hapa ni kijiweni kwa Dj mkongwe Young Kim Magomelo (aliyeshika fegi) mtaa wa mkwepu street dar, ambako wadau toka vijiwe mbalimbali huwa huwa tunakutana kubadilishana mawazo haya na yale, hususan mstakabali mzima wa maisha ya bandari salama. hapa huwa haliharibikagi jambo hapa. na lisilojulikana hapa halistahili kujulikana.
Dj Young Kim ndiye muasisi wa shindano la kwanza la kucheza disko enzi zake za Moon dust discoteque la Motel Villa de Tanzanie ya Mwananyamala ambapo fainali zake mshindi alikuwa marehemu Mussa Simba a.k.a Black Moses na mshindi wa pili akiwa Ommy Sydney. Kwa kina dada nakumbuka mshindi alikuwa Salama Kajela, ambapo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa wilaya ya Ilala enzi hizo, Mh Jenerali Ulimwengu.
Dj Young Kim pia aliasisi mashindano ya Yo Rap Bonanza kushindanisha marapa wakati muziki wa kizazi kipya unaibuka. Mshindi alikuwa Saleh Jabir
Na huyu wa kwanza kabisa kulia mwenye miwani huwa mnakaa naye kijiweni?
ReplyDeletemimi nauliza huo mfiniko ndio ulishapitiwa na wale jamaa wa vyuma chakavu ama huo wa zege ndio uliokuwepo toka mwanzo?
ReplyDeletemuda wa kuwa kazini nyie mpo mitaani mnapiga domo,no hurry in africa wazungu hawakukosea!!!!!!
ReplyDeleteNdawila boy, ba-ba mpaka ITALY
ReplyDeleteMbona Matango si muoni ukimkosa hapo , basi ujue ana dharura. hivi Sijui huwa anafanya kazi saa ngapi ..?
ReplyDeleteSwali hich kijiwe umesha fanya kitu yoyote ya maendeleo au ??? na kazi ni saa ngapi??
ReplyDeletetime is money, hurry up !
Dah....hivi huyu ndo KIM wa KIM AND THE BOYS???? Duh! aisee watu tumeshazeeka.
ReplyDeleteMkuu,
ReplyDeleteShindano la kwanza la disco Tanzania lilikuwa Discomesha / Discommecial ambalo liliishia hewani. Au nimekosea?
Baba wa Taifa shati ya Pink tano toka kulia Duh huyu jamaa hakui huyu miaka nenda rudi haya bana labda utabadilika, Anamjua kila mtu na anajua kila jambo. We unayesema watu waende kazini hapo kila mtu anakazi zake peleka deal uone!! big up brodaz
ReplyDeletejaman yu wapi mohamed bajabir a.k.a jazzie b??jamaa yule ni noma
ReplyDeletealievaa raba nyeupe sio othman Kazi kweli huyu?
ReplyDeletenipatie namba ya kim nimsalimie.duuh amekuwa kibabu sasa.lakini powa tuu.
ReplyDeleteHa ha ha ha ha ha ha ha ha,umenikumbusha mbali sana bro Michuzi.
ReplyDeleteYO RAP BONANZA,DJ KIM AND THE BOYZ!ha ha ha ha ha ha.Tangazo lake lilikua linatoka kwenye gazeti la mfanyakazi kila jumamosi,kuna dogo mmoja kauinua mguu juu,kaushika,halafu mwingine kanyoosha juuu,halafu kwa mbali kuna disco light zinawaka waka.Ha ha ha ha ha!
Mkulima-Kijijini Gezaulole.
ALIYEKAA CHINI WA KWANZA KUSHOTO AITWA KAZI SELEMANI KITUNDU ! KAKIMBILIA BUNJU SIKU HIZI.ANA KIJIWE CHAKE KINGINE HUKO DUUU ! JAMAA AKUI.
ReplyDeleteYAKUBU TARATIBU NYAMA CHACHE!!!
ReplyDeleteUNAFIKIRI KUNA MTU WA KUBAKI, BA BA MANENO ITALY KWA NASSA!!!!
MDAU MBITA!!!