

hii timu ipo chini ya ajenti anayeitwa Howid Goldberg anayeandaa vijana wenye vipaji kama Denis na hatimae kuwatafutia timu ya kulipwa hapa marekani na hata ulaya.
Howid Goldberg pia ni ajenti wa mchezaji Nino Gomez anayechezea Fc Porto ya Ureno.Denis anasema kutokana na yeye kua na kipande cha kijani ndio maana kwake ni vigumu kwa ajenti kumpa majaribio ulaya.
Denis alikuja huku Marekani akiwa na miaka 14 kwa kumfuata Baba yake Lepana Geoffrey na amesoma na kucheza mpira college ya Columbia,St.Louis 2005-08,mwenyewe pia anapendelea kufanya majaribio na timu ya Taifa kama atahitajika au kupata nafasi kufanya hivyo.
kwa habari zaidi za Denis unaweza kuzipata kwa kubofya www.caryclareps.com
GR8
ReplyDeletekipande cha kijani ndio nin?
ReplyDeletetumia lugha iliyonyooka kidogo,
halafu mbna hiyo website hai exist? au ndo unatupiga changa la macho?
kipande cha kijani???????????
ReplyDeleteeee jamani?
so unajiuza timu ya maximo..aya
nimsaidie anko michuzi kujibu swali.
ReplyDeletekipande cha kijani hapo nadhani alikuwa anaamanisha "green card" ile ya USA
Mdau Kyk.
Mtoa habari amechemsha hiyo website ni www.caryclarets.com
ReplyDeleteKijana bado ana kazi kabla ya kuweza kuitumikia Taifa Stars. Ligi anayocheza ni ya chini ya ligi waliyoenda kina "Cannavaro". Walau angekuwa anacheza kwenye USL tungependekeza ajaribu.
ReplyDeletePicha zinaleta matumaini lakini. Akaze msuli aje kuwakilisha. Mafowadi wetu wengi wanaona aibu kucheka na nyavu.
na kweli wabongo despereti...chochote kitanzania ughaibuni hata kama ni jiwe mtasema kipaji!!!ebu njooni kwetu Mbeya muone vipaji 'made in bongoland'
ReplyDeletesasa mbona kama ligi yenyewe ni ile ya mchangani???poa lakini mshikaji, keep on dreaming, one day you might pull a " Hasheem Thabeet" move, and all of us so called "haters" we'll start to kissing your a$$
ReplyDeleteWacha kutuyeyusha bwana, mbona wacheza baseball wengi tuu sio raia wa marekani, na wanagreen card hiyo hiyo. Hasheem mwenyewe he is still on a visa, sasa wewe usituyeyushe eti kwa sababu una greencard ndio agent asikutafutie time. you don't have to be an american citizen to be represented by an agent; the truth is kipaji chako bado hakina kiwango na sio maswala ya greencard. by the way, considering your age, you better off to start look into other career prospects kama vile nursing homes, group homes kwani soccer might not be a thing for you. in other words, jua linazama changamkia ulaji mwengine.
ReplyDelete