WANAZUONI WAMEANDAA SIKU MAALUMU YA KUKAA PAMOJA NA KUMKUMBUKA MDAU MWENZAO HAYATI PROFESA HAROUB OTHMAN JUMAMOSI HII YA JULAI 18, 2009 KATIKA UKUMBI WA NKRUMAH HALL JIJINI DAR AMBAPO MADA MBALIMBALI ZITAJADILIWA. KILA MDAU ANAKARIBISHWA HAKUNA KIINGILIO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2009

    I wish it was a dream! Kumbe ni kweli. Baba yetu, mwalimu wetu hatutakusahau kwa kutushushia desa hapo mlimani. Mengi niliyojifunza kwako kuhusu siasa za Afrika na dunia yote sintovisahau daima. Nilielewa mfumo wa siasa wa nchi yetu TANZANIA the time I met him
    (1992)at the hill na ndiyo tulikuwa tumeingia kwenye mfumo wa vyama vingi kitu ambacho watanzania wengi walikuwa hawakielewi. He made the development class very interesting with his narrating lecture, he nevre bring any paper to the class, everything just flows from that intelligent brain with that polite humble voice of a father talking to a child! OOOh my god I'm wiping as I write this, because I never had chance to see him again since I graduated from Mlimani and moved to the states for graduate studies and finally settled here. BUT i have always talk about him all the time when I meet with my african brothers and sisters and chat about politics in our continent Africa they are amazed how knowledgable I am and I tell them I gat from my prof Haroub! May Allah grant him heavens and eternal life. HE WAS A GREAT MAN!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2009

    when ever i remeber you my eye are fill with tears!you were so great!it is so painfull to loose you.Thanks for everything uncle,i really miss u.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2009

    Ninawapongeza Wanazuoni kwa kuandaa kumbukumbu ya Prof Haroub Othman. Kweli hatuwezi kumsahau katika mijadala aliyokuwa akishiriki, mtizamo aliokuwa nao na hata kuchangia kila wakati anapoona inafaa. Mara nyingi alikuwa mstari wa mbele katika kuenzi na kukumbuka michango ya waliotutangulia miongoni mwao wakiwa kina Abdularhman Babu, Mwalimu Julius Nyerere, Prof Seithy Chachage na wengine wengi tu. Ni mara chache sana kuwapata watu kama Prof Othman katika jamii hii ya karne ya 21!
    Hatuna jinsi nyingine ya kumuenzi zaidi ya kuyasoma na kuchambua yale yote aliyotuachia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...