DStv is happy to announce its sales promotion with price special offer TShs 219,000/- fully installed for DStv single view decoder.

DStv Access subscribers will have an extensive choice of family entertainment, combining general entertainment, Movies, documentaries, news, children’s programming, music, religion and sport. Among other channels, DStv Accessfeatures BBC World, Aljazeera, National Geographic Wild, Fashion TV, Magic World and CNBC Africa.

There is also good news for DStv Compact and DStv Family subscribers. On the DStv Compact bouquet, E! Entertainment, BET and children’s channels Boomerang and Kids Co. will be added, while the DStv Family bouquet will see the addition of E! Entertainment, SET, BET, The Style Network

Below are monthly fee breakdowns:-
· DStv premium bouquet with over 65 great TV channels for $ 74 per month · DStv Compact bouquet with over 34 great TV channels for $ 25 per month · DStv family bouquet with over 25 great TV channels for $ 19 per month.

DStv Access bouquet with over 25 great TV channels for $ 10 per month · DStv Easy View bouquet with over 10 great TV channels for $ 36 per year.

You can pay your monthly subscription fee in Tshs as well depending on the dollar exchange rate which is 1320/=.

Please contact me directly if you require more clarifications.

Good day.

Regards,
Technovision Electronics
(0752/0787 262909)
DStv Accredited Installer
Call us for more details

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2009

    michu hiki kitu nakipenda ila nachokata tamaa ni kwamba naondoka home saa 12.00 asbh narudi saa 1.30 usk kila siku kadhalika mai hasbandi watoto wangu waduchu sasa NINACHO BOREKA NITAANGALIA SAA NGAPI? SIO NITAKUWA NATOA MICHANGO YA MISHAHARA YA WATU TU? HEBU MICHU NIPE DARASA LABDA UPEO WANGU FINYU SANASANA TX NDO ATAKUWA MUANGALIAJI PEKE YAKE ATASAHAU NA KAZI ZAKE ZA NDANI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2009

    Hawa Dstv vipi kwenye ugumu wa maisha na kipato kidogo ndo Bei zao zipo juu hapa south africa bei zao ni nafuu sana kulinganisha na bei hizi ku install single view inaazia R700 ambayo ni kama laki moja Bongo. na Compact ni R219 kwa mwezi 1usd = R 8.20 au maajenti ndo wanaweka bei imekaaje hii

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2009

    Halafu WEWE DSTV....unapoamua kuonyesha kazi za wasanii wetu wa hapa nchini.....CD za kazi zao ANUNUE NANI???( this is one)....second....zile movies kali kali za AFRICAN MAGIC unapoamua kunipangia mimi Mtanzania eti nianze kuangalia kuanzia saa 6 ya usiku....WEWE KWELI ZINAKUTOSHA!!....tuwekee movies hizo muda ambao unakubalika....HATA KAMA MIDA HIYO TUNAKUWA ULEVINI HILO HALIKUHUSU.......UMENIELEWA????/

    ReplyDelete
  4. makiromaro@yahoo.comJuly 17, 2009

    Kwanza Easy View bouquet zimejaa channel za kihindi 9 na 1 ni TBC na ina kwikwi sana bora hata niangalie kwa kutumia antena! Mie hawa DSTV hata siwaelewi kabisa,mnaangalia jinsi ya kuongeza wateja wa $ 74 kwa mwezi na sisi wa $36 kwa mwaka hamtujali kabisa mnatuwekea statitions zinazobore tukiwauliza hapo customer service mnasema eti hizo ni default channel,please badilisheni angalau mtuwekee channels kama Africa Magic tuwe tunaangalia movie za kiafrica kulikoni kutuwekea hizo za kihindi,jamani channel 9 za kihindi tuuuu na sis tuko Africa whyyyy?????,hebu tujalini na sisi masikini badilisheni basi default channels zenu!! Najua saaana maana ya defult na sitaki kulijadili sana hapa maana linaweza zua mjadala mrefu! Msiangalie sana katika kupata faida kubwa mkatusahua sisi walalahoi!! by makiromaro@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. Big up baba Erick a.k.a baba Tamasha.

    Unajua kutangaza biashara yako. ila usisahau kutoa fungu la kumi

    Mtumishi wa Mungu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2009

    Gharama za DSTV kweli ziko juu.

    Lakini kinachonikera mimi ni pale unapokuwa na tatizo linalohusiana na DSTV. Utapioga namba zao za simu wee mpaka utachoka. Utabaki kuambulia sauti za kukwambia usubiri, usubiri,usubiri walizoseti kwenye simu hizo na mara zote hizo unakuwa unachajiwa. Kutahamaki hata kama simu yako ilikuwa imejaa credit utakuta zote zimekwenda wakati haujaongea na mtoa huduma yoyote pale DSTV.

    Sasa mie najiuliza kama haukupata nafasi ya kuongea na mtoa huduma ukamweleza tatizo lako inakuwaje ukatwe credit yako kwenye simu wakati ulichoambulia ni kusikiliza tu sauti zilizosetiwa? Wizi mtupu.

    Na sasa DSTV wamebaki pekee yao hawana mshindani mwingine kama ilivyokuwa enzi za GTV basi nakwambia gharama hapo zitakuwa zinapanda kila kukicha.

    Mie Scallywag

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2009

    Sasa hawa DSTV vp wanaweka namba wengine tunahitaji huduma nimetuma sms lakini mpaka mida hii sijajibiwa toka asubuhi kama vp wekeni hata namba ya tiGo kama mnataka kupigiwa maana mmeweka zain na voda wengine hiyo mitandao ukipiga sawa na mama mkwe unaliwa visenti vyote.
    Kwa kushindwa kunijibu sms tayari nimewashtukia naona huduma zenu nizakuibia ibia tu watu gharama juu bora ninunue antena ya tube light tu.
    Fidel.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2009

    It is very very expensive! In some European countries for instance installation fee is free 45 excellent channels 5Euros per month and average month salary 1000Euro.
    DSTV you are killing ndugu zangu wewe

    KILI BG.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2009

    Kwanza bei yao ndio kubwa sana na pia bongo tunatumia shilingi sio dola wala pound, kwa nini tulipe fedha z kigeni maana tukilipa fedha za kwetu , hawa jamaa watashindwa kutuipia, wanataka tulipe fedha za kigeni ili waweze kuzipeleka nje. je walipata tax , (kodi) na leseni kwa dola .... unafungua biashara nchini ulipe kwa fedha ya pale pale sizani ukiwa south watu walipata kwa dola kwa local services. tuomba pia waweke serices kwa ajili kama utaka kutizama wakati wa jioni tu kuliko masaa 24..

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 18, 2009

    Kwa kweli mimi nimefurahishwa kwa sisi tunaolipia COMPACT kupata BOOMERANG na E!.Maana mwanangu alikuwa anamiss kuona Cartoon za kina Scooby, Tommy& Jerry nakadhalika.Maana Premium hela nyingi sana inabidi ulipie ukiwa likizo.BIG UP kwa hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...